Uchawai mpka ulaya upoAkanji hawezi make hata sub Bayern Munchen lkn ndiyo panga pangua wa City
Mbona ipo wazi, sio etihad tu mpaka anfield unapigika kwasababu hata liva iwe mbovu vipi ila pale huwa ni kisago tu.Haya tuseme umeshinda etihad, nani atakuwa juu ya msimamo?
Ukijibu nitag.
WEWE NA UNAEMPIGIA DEBE WOTE NAPIGA.Ulimpiga lkn kakuzidi points 8.
Unampiga Arsenal kisha unaenda dondosha points kwa Everton au Nothingham Forest.
Obafemilulwe Ibambiola Emanuel Akanji hawezi akakupa EPL.
HahahaNdiyo kombe pekee ambalo mfunga magoli 100+ kwa msimu Haaland anaweza lipata,na bado hakuna uhakika sababu Man U Ataingia FA final.
EPL tayari Arsenal kalichukua na UCL mwisho wenu ni kwa Bayern.
Inasikitisha sana sana sana
Kwahiyo unawategemea wanaume wenzio wakufanyie kazi usiyoiweza!😂😂Mbona ipo wazi, sio etihad tu mpaka anfield unapigika kwasababu hata liva iwe mbovu vipi ila pale huwa ni kisago tu.
NB: Mimi gari limewaka amna wa kunizuia, mechi zilizobaki natandika wote.
Twende taratibu ili tuone nani kilaza.Kwahiyo unawategemea wanaume wenzio wakufanyie kazi usiyoiweza!
Tommy Doyle jana kawapeleka sheffield nusu fainali kwa goli lake la dakika za majeruhi.Kulingana na kanuni za FA, Tommy Doyle na James McAtee hawatoweza kucheza dhidi ya Manchester City.
Wachezaji wa mkopo hawaruhusiwi kucheza dhidi ya klabu zao mama.
Sio ile tu draw na Everton ,kufungwa na Brentford dakika za 90+ ndio kitu kilichotunima ubingwa ...Ile draw ya kijinga na Nottingham forest inaweza kutugharimu sana, unless tushinde mechi zote zilizobaki.
Nimesoma mara mbili mbili na sijaona point uliyomaanisha.. huwa unapitia unachokiandika mkuu? Hebu pitia tena vizuri notes zako.Twende taratibu ili tuone nani kilaza.
arsenal mnatuacha point 8 huku tuna mechi mkononi.
Imebaki mechi moja tu ya kukutana kati yetu na nyie, tukiwapiga zinabaki point 5. Then what?
Kama msipopoteza point kwingine hilo gap tutaliziba vp?
Tuseme tunashinda mechi zote zilizobaki, vipi kama na nyie mkapigwa na city tu halafu zilizobaki zote mkashinda? Hapo tunakuwa tumefanya nini?
Kilaza cha arteta katika ubora wake, ligi ina mahesabu hii.
Huu mwezi ndio unaenda kuamua kabisa either arsenal apewe chake mapema au tusubili mpaka game ya mwisho ....Hii ndio fixture ya mwezi April kwa the cityzens,mzigo umeshiba haswa, inabidi tujipange.
Sat 01 April, EPL
Man city vs Liverpool
Sat 08 April, EPL
Southampton vs Man city
Tue 11 April, UCL
Man city vs Bayern munich
Sat 15 April, EPL
Man city vs Leicester city
Wed 19 April, UCL
Bayern munich vs Man city
22 or 23 April, FA CUP
Man city vs Sheffield united
Wed 26 April, EPL
Man city vs Arsenal
Sun 30 April, EPL
Fulham vs Man city
Naona arsenal wana advantage kubwa mno kwenye hii race, mentality yao yote ipo EPL, sisi tunawinda treble na ratiba ipo tight kwenye mashindano tunayoshiriki, inshu za fatigue na injury vinaweza kutuangusha.Huu mwezi ndio unaenda kuamua kabisa either arsenal apewe chake mapema au tusubili mpaka game ya mwisho ....
Mashabiki wa arsenal mna matatizo.Nimesoma mara mbili mbili na sijaona point uliyomaanisha.. huwa unapitia unachokiandika mkuu? Hebu pitia tena vizuri notes zako.
Arsenal hii ndoo hachukui.Naona arsenal wana advantage kubwa mno kwenye hii race, mentality yao yote ipo EPL, sisi tunawinda treble na ratiba ipo tight kwenye mashindano tunayoshiriki, inshu za fatigue na injury vinaweza kutuangusha.
Arsenal asipochukua aisee ,watajuta maisha yao yote [emoji23][emoji23][emoji23]Arsenal hii ndoo hachukui.