The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haya tuseme umeshinda etihad, nani atakuwa juu ya msimamo?

Ukijibu nitag.
Mbona ipo wazi, sio etihad tu mpaka anfield unapigika kwasababu hata liva iwe mbovu vipi ila pale huwa ni kisago tu.

NB: Mimi gari limewaka amna wa kunizuia, mechi zilizobaki natandika wote.
 
Ulimpiga lkn kakuzidi points 8.
Unampiga Arsenal kisha unaenda dondosha points kwa Everton au Nothingham Forest.
Obafemilulwe Ibambiola Emanuel Akanji hawezi akakupa EPL.
WEWE NA UNAEMPIGIA DEBE WOTE NAPIGA.
 
Ndiyo kombe pekee ambalo mfunga magoli 100+ kwa msimu Haaland anaweza lipata,na bado hakuna uhakika sababu Man U Ataingia FA final.
EPL tayari Arsenal kalichukua na UCL mwisho wenu ni kwa Bayern.
Inasikitisha sana sana sana
Hahaha

We jamaa baada ya timu lako kuchomolewa kwenye mashindano yote na kwenye ligi hata top 6 hamna matumaini, naona saivi unatapa tapa tu.

City itakutesa sana bro maana ndio kwanza tunaanza.
 
Mbona ipo wazi, sio etihad tu mpaka anfield unapigika kwasababu hata liva iwe mbovu vipi ila pale huwa ni kisago tu.

NB: Mimi gari limewaka amna wa kunizuia, mechi zilizobaki natandika wote.
Kwahiyo unawategemea wanaume wenzio wakufanyie kazi usiyoiweza!😂😂

Kumbe kuna watu vilaza humu kiasi hiki.😂😂😂
 
Kwahiyo unawategemea wanaume wenzio wakufanyie kazi usiyoiweza!
Twende taratibu ili tuone nani kilaza.

arsenal mnatuacha point 8 huku tuna mechi mkononi.
Imebaki mechi moja tu ya kukutana kati yetu na nyie, tukiwapiga zinabaki point 5. Then what?
Kama msipopoteza point kwingine hilo gap tutaliziba vp?

Tuseme tunashinda mechi zote zilizobaki, vipi kama na nyie mkapigwa na city tu halafu zilizobaki zote mkashinda? Hapo tunakuwa tumefanya nini?

Kilaza cha arteta katika ubora wake, ligi ina mahesabu hii.
 
Ile draw ya kijinga na Nottingham forest inaweza kutugharimu sana, unless tushinde mechi zote zilizobaki.
 
Kulingana na kanuni za FA, Tommy Doyle na James McAtee hawatoweza kucheza dhidi ya Manchester City.

Wachezaji wa mkopo hawaruhusiwi kucheza dhidi ya klabu zao mama.
Tommy Doyle jana kawapeleka sheffield nusu fainali kwa goli lake la dakika za majeruhi.

Nimeona kocha wa sheffied kawa dissapointed kuwakosa hawa watu.
 
Ile draw ya kijinga na Nottingham forest inaweza kutugharimu sana, unless tushinde mechi zote zilizobaki.
Sio ile tu draw na Everton ,kufungwa na Brentford dakika za 90+ ndio kitu kilichotunima ubingwa ...

Zile last minute win za arsenal against bounamoth, Aston villa ni kiashiria kuwa ubingwa uko upande wao ...

Sioni kingine kipya kikitokea ....

Issue ni kuwa hata arsenal akipoteza hata sisi tunaweza kupoteza Tena Kwa timu ndogo ambayo hutegemei ...

Toka arsenal afungwe na sisi kashinda game zake zote ...sisi tumedraw na Nottingham forest...
 
Kombe naloona liko mikononi mwetu ni fa ....

Hayo mengine inahitajika miujiza ...
 
Twende taratibu ili tuone nani kilaza.

arsenal mnatuacha point 8 huku tuna mechi mkononi.
Imebaki mechi moja tu ya kukutana kati yetu na nyie, tukiwapiga zinabaki point 5. Then what?
Kama msipopoteza point kwingine hilo gap tutaliziba vp?

Tuseme tunashinda mechi zote zilizobaki, vipi kama na nyie mkapigwa na city tu halafu zilizobaki zote mkashinda? Hapo tunakuwa tumefanya nini?

Kilaza cha arteta katika ubora wake, ligi ina mahesabu hii.
Nimesoma mara mbili mbili na sijaona point uliyomaanisha.. huwa unapitia unachokiandika mkuu? Hebu pitia tena vizuri notes zako.
 
Hii ndio fixture ya mwezi April kwa the cityzens,mzigo umeshiba haswa, inabidi tujipange.

Sat 01 April, EPL
Man city vs Liverpool

Sat 08 April, EPL
Southampton vs Man city

Tue 11 April, UCL
Man city vs Bayern munich

Sat 15 April, EPL
Man city vs Leicester city

Wed 19 April, UCL
Bayern munich vs Man city

22 or 23 April, FA CUP
Man city vs Sheffield united

Wed 26 April, EPL
Man city vs Arsenal

Sun 30 April, EPL
Fulham vs Man city
 
Huu mwezi ndio unaenda kuamua kabisa either arsenal apewe chake mapema au tusubili mpaka game ya mwisho ....
 
Manchester city have officially made a €12 million bid for croatian wonderkid, Luka Vuskovic (16) as they pursue a transfer deal.

The offer has not yet been accepted or rejected by his club, Hajduk split so it remains to be seen whether or not city can get this exciting signing done.

CityXtra.
 
Huu mwezi ndio unaenda kuamua kabisa either arsenal apewe chake mapema au tusubili mpaka game ya mwisho ....
Naona arsenal wana advantage kubwa mno kwenye hii race, mentality yao yote ipo EPL, sisi tunawinda treble na ratiba ipo tight kwenye mashindano tunayoshiriki, inshu za fatigue na injury vinaweza kutuangusha.
 
Luka Vuskovic ana miaka 16 tu lakini tayari ana namba kwenye kikosi cha kwanza pale Hajduk.Ni central defender na ana aerial dominance ya kuridhisha sana kwa umri wake.
 
Naona arsenal wana advantage kubwa mno kwenye hii race, mentality yao yote ipo EPL, sisi tunawinda treble na ratiba ipo tight kwenye mashindano tunayoshiriki, inshu za fatigue na injury vinaweza kutuangusha.
Arsenal hii ndoo hachukui.
 
Erling Haaland has been pulled out of Norway squad due to injury.

Now he has been sent back to Manchester.
 
Back
Top Bottom