Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hawa huwa wanafanga fujo wakiwa uwanjani ,last game walimuumiza Dogo na shabikia wa man city ,mpaka kivuja damu na kupelekwa hospital ndio maana wakaamua kupunguza idadi ya mashabiki na wataweka uzio wa nyavu kati ya mashabiki wa Liverpool na city kwenye game ijayo .....Liverpool huko wanataka kwenda mahakamani baada ya Manchester city kupunguza idadi ya tickets kwa mashabiki wa Liverpool kwa 20%
Man city na liverpool huwa ni double showdown unaambiwa, vita uwanjani na jukwaani.Hawa huwa wanafanga fujo wakiwa uwanjani ,last game walimuumiza Dogo na shabikia wa man city ,mpaka kivuja damu na kupelekwa hospital ndio maana wakaamua kupunguza idadi ya mashabiki na wataweka uzio wa nyavu kati ya mashabiki wa Liverpool na city kwenye game ijayo .....
Alvarez ni promising striker ila Haaland anampiga gap kwenye baadhi ya maeneo.
Kumbe kuna watu mnateseka namna hii, tafuta tu panadol umeze maana li city litakuumiza mnoo.Nitafurahi nikiambiwa 2 months atakuwa nje ya mfumo
Tatizo wana fujo.Liverpool huko wanataka kwenda mahakamani baada ya Manchester city kupunguza idadi ya tickets kwa mashabiki wa Liverpool kwa 20%
Itakuwa ni janja ya pep tu kutaka kujaribu kumweka mbali na majeraha katika kipindi ambacho anamuhitaji SanaHaaland kuna ripoti zinasema kwamba jeraha lake sio kubwa na amewithdraw kwenye timu ya taifa kama tahadhari tu ila man city medical staff bado hawajatoa taarifa official.
Point yangu ilikuwa kwamba, hata Haaland akiumia, hatokua na impact sana sababu sio game influencer...Alvarez ni promising striker ila Haaland anampiga gap kwenye baadhi ya maeneo.
Haaland ana pace kuliko Alvarez.
Ni more clinical kuliko Alvarez.
Ana strength & height ya kupambana na mabeki kwenye aerial balls.
Hiyo taarifa ya haaland kuwa injured ilitolewa na Norway wenyewe.Itakuwa ni janja ya pep tu kutaka kujaribu kumweka mbali na majeraha katika kipindi ambacho anamuhitaji Sana
Sina uhakika sana kama ni kweli jamaa atakuwa na injury, nahisi ni precautions tu za bwana kipara
Huwa ni kutwangana pande zote 2.Tatizo wana fujo.
Sioni uhusika wa pep hapo sababu medical team ya Norway ndio walitoa statement.Itakuwa ni janja ya pep tu kutaka kujaribu kumweka mbali na majeraha katika kipindi ambacho anamuhitaji Sana
Sina uhakika sana kama ni kweli jamaa atakuwa na injury, nahisi ni precautions tu za bwana kipara
Kivuli cha Haaland kinamfunika Alvarez linapokuja suala la gametime.Haaland now yupo linked heavely na kwenda Real madrid, agent wake mwenyewe anapush sana hii inshu, haaland mwenyewe alitaka kwenda Madrid ni vile tu Madrid wali delay sababu walikuwa na Benzema.
Ni vyema aende tu klabu anayoipenda tubaki na La arana, Alvarez.
Madrid kulipa release clause ya haaland ni mpaka mwishon mwa msim ujaoHaaland now yupo linked heavely na kwenda Real madrid, agent wake mwenyewe anapush sana hii inshu, haaland mwenyewe alitaka kwenda Madrid ni vile tu Madrid wali delay sababu walikuwa na Benzema.
Ni vyema aende tu klabu anayoipenda tubaki na La arana, Alvarez.
I've got your point.Point yangu ilikuwa kwamba, hata Haaland akiumia, hatokua na impact sana sababu sio game influencer...
Engine ya city ipo kwenye midfield (de bruyne,rodri,gundogan/bernado,grealish)..kule mbele haaland yeye huwa ni kuweka tu mpira wavuni.
Alvarez anafanya mengi zaidi ya kuweka mpira wavuni, anaweza kuungana na timu kutengeneza shambulizi kwenye eneo la mid, sio free standing striker kama haaland.
Ndio, tunamuhitaji Haaland lakini hata asipokuwepo, Alvarez can do it.
I don't like this.Haaland now yupo linked heavely na kwenda Real madrid, agent wake mwenyewe anapush sana hii inshu, haaland mwenyewe alitaka kwenda Madrid ni vile tu Madrid wali delay sababu walikuwa na Benzema.
Ni vyema aende tu klabu anayoipenda tubaki na La arana, Alvarez.
Yule baba yake ndio kirusi mkuu kwenye hii saga.I don't like this.
Media sometimes zinaharibu mambo, stori za Haaland kwenda Madrid zimekuwa hyped na wakati ndio msimu wake wa kwanza pale etihad.
Wanamuondolea concentration.
Alfie Haaland is a pure opportunist. Mzee ananusa pesa popote zilipo.Yule baba yake ndio kirusi mkuu kwenye hii saga.
Hakukutakiwa kuwa na kelele hivi that's why nataka aende tu maana jamaa atalose focus.Madrid kulipa release clause ya haaland ni mpaka mwishon mwa msim ujao