Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hawa huwa wanafanga fujo wakiwa uwanjani ,last game walimuumiza Dogo na shabikia wa man city ,mpaka kivuja damu na kupelekwa hospital ndio maana wakaamua kupunguza idadi ya mashabiki na wataweka uzio wa nyavu kati ya mashabiki wa Liverpool na city kwenye game ijayo .....Liverpool huko wanataka kwenda mahakamani baada ya Manchester city kupunguza idadi ya tickets kwa mashabiki wa Liverpool kwa 20%