The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hivi wakati akanji anaminyana na gapko mpaka akaacha mpira free dias anaangalia tu Salah anatupia goli ...
 
Lovely play from city but we need goals.

Mahrez inabidi awe aggressive analeta chenga nyingi zisizo na maana.
 
Namtoa Jota anaingia Nunez
Namtoa Gapko anaingia Bobby
Nakupiga hapo hapo kwako na rasmi Arsenal bingwa
 
Back
Top Bottom