SanaGrealish ni hard worker asee.
SawaNamtoa Jota anaingia Nunez
Namtoa Gapko anaingia Bobby
Nakupiga hapo hapo kwako na rasmi Arsenal bingwa
Liva anakufa hii game.
Liverpool wanacheza counter attack ,....Salah sio wa kumuacha a break free, ake inabidi akaze msuli huo.