The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huenda walker akawa anasugua benchi mpaka mwisho wa msimu.

Pep kasema walker hawezi kucheza kwenye role ya lone inverted full back, anahitaji muda kuweza kumaster na muda kwa sasa haupo.
 
Haaland leo akianza kama lone striker tutegemee kuwa isolated kama kawaida.

Alvarez inabidi aanze ili kuongeza options ndani ya box la soton kwa viungo kudeliver mipira.
 
Haaland leo akianza kama lone striker tutegemee kuwa isolated kama kawaida.

Alvarez inabidi aanze ili kuongeza options ndani ya box la soton kwa viungo kudeliver mipira.
My line up

........alvarez....haaland


grealish....rodri.....KDB.......bernado


ake.......laporte.....akanji.....walker

.........ederson

Southampton likely watapaki basi hivyo winga aanze bernado.
Bernado huwa anacover eneo kubwa akicheza kama winga na ana movement nyingi kwenye box. Ukiongeza na uwepo wa alvarez itasaidia kuondoa isolation kwa haaland sababu lazima sou watam"mark"

Walker aanze ili kumtunza stones kwa ajili ya bayern (stones ana majeruhi ya mara kwa mara).

Gundogan,dias na mahrez wapumzishwe pia ili wawe fresh kwaajili ya jumanne.

Huu ni mtazamo wangu.
 
Alvarez hawez kuanza na haaland ....

Walker sioni akianza ....

Tegemea kikosi kilichoanza dhidi ya Liverpool,ila Alvarez atakuwa replaced na haaland ....
 
Alvarez hawez kuanza na haaland ....

Walker sioni akianza ....

Tegemea kikosi kilichoanza dhidi ya Liverpool,ila Alvarez atakuwa replaced na haaland ....
Lakini haaland hakuna uhakika kama yuko fiti 100% pep alisema tu atakuwepo kwenye mechi manake anaweza akaanzia hata bench.
 
Hata kama mpira unadunda ila leo southampton wameyakanyanga, tunaua game mapema tunatunza vyuma kwaajili ya bayern.
 
Huu mfumo wa beki tatu nyuma wawili kuingia kati unamtoa walker kwenye mfumo ...

Sijui kama walker atarudi kwenye form ...

Pep kuja kubadilisha mfumo bila kupoteza game ni ngumu ..
 
Rashford out injured..Whergost in.
Mzee vipi mbona unatoa update kwenye Uzi wa Tema ingine?

Kwanza hebu fanya kazi yako ya kutupostia Msimamo wa ligi kama ulivokuwa unafanya
 
Nawacheki hapa buyern ,..

Tukitulia tunaweza kuwashangaza ,mpira wao wa kawaida aisee...
 
Inahitaji uwe mjinga wa kiwango cha juu sana kuamini Southampton atapata hata sare Leo.

City 2-0 southampton
 
Wanaume tunaingia hivi

Ederson
Stones
Ake
Akanji
Dias
Rodrigo
Gundogan
De bruyne
Grealish
Haaland
Mahrez
 
Hapa tumalize kaz chapchap wanaume tukajiandae na usiku wa mabingwa, watoto wakalale kusubiri wiki ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…