Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaland leo akianza kama lone striker tutegemee kuwa isolated kama kawaida.Ukifatilia mechi za city na soton recently utagundua soton wamekuwa wakitumia approach ya kutupress kwenye dakika 15-20 za mwanzo na kutunyima utulivu.
Baada ya hapo huwa linafata basi la maana hasa wakifanikiwa kupata goli ndani ya hizo dakika.
Natumaini matumizi ya stones kwenye midfield sambamba na rodri itasaidia kuongeza ball holding capacity na game control in case
wakiamua kutupress na kutarget midfield.
My line upHaaland leo akianza kama lone striker tutegemee kuwa isolated kama kawaida.
Alvarez inabidi aanze ili kuongeza options ndani ya box la soton kwa viungo kudeliver mipira.
Alvarez hawez kuanza na haaland ....My line up
........alvarez....haaland
grealish....rodri.....KDB.......bernado
ake.......laporte.....akanji.....walker
.........ederson
Southampton likely watapaki basi hivyo winga aanze bernado.
Bernado huwa anacover eneo kubwa akicheza kama winga na ana movement nyingi kwenye box. Ukiongeza na uwepo wa alvarez itasaidia kuondoa isolation kwa haaland sababu lazima sou watam"mark"
Walker aanze ili kumtunza stones kwa ajili ya bayern (stones ana majeruhi ya mara kwa mara).
Gundogan,dias na mahrez wapumzishwe pia ili wawe fresh kwaajili ya jumanne.
Huu ni mtazamo wangu.
Huo nao ni mtazamo wako pia.Alvarez hawez kuanza na haaland ....
Walker sioni akianza ....
Tegemea kikosi kilichoanza dhidi ya Liverpool,ila Alvarez atakuwa replaced na haaland ....
Lakini haaland hakuna uhakika kama yuko fiti 100% pep alisema tu atakuwepo kwenye mechi manake anaweza akaanzia hata bench.Alvarez hawez kuanza na haaland ....
Walker sioni akianza ....
Tegemea kikosi kilichoanza dhidi ya Liverpool,ila Alvarez atakuwa replaced na haaland ....
Umepotea Uzi wewe [emoji23][emoji23]Rashford out injured..Whergost in.
Mzee vipi mbona unatoa update kwenye Uzi wa Tema ingine?Rashford out injured..Whergost in.