The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tumeshinda ndio lakini kuelekea UCL Match na bayern kuna mapungufu bado tunayo, COUNTER ATTACKS.

Kwenye mechi ya liverpool na ya jana tulikuwa tuna struggle sana kudefend counter attacks, tunakuwa exposed hasa kwa huu mfumo wa back three.
Kama soton wangekuwa na striker na winga mzuri, ile game tungekuwa na wakati mgumu sana.

Jana baada ya kuingia walker na kuanza kucheza back four unaona namna tulivyoanza kuwa comfortable & stable pale nyuma.

Tukienda na back three kwa bayern tunaweza kuadhirika.
 
Baada ya kuingia walker kucheza back four maana yake pep kasharidhika na magoli ,kama pep ananjaa na magoli haweza kucheza vile ...

Stone kuwa inverted midifilder ndio mfumo wa pep ,kutafuta ushindi ....

Ake --- dias --- akanji ,,,tegemea wakianza game ya buyern ...
 
Arsenal kabakiza mechi 9 tu abebe ndoo ila bahati mbaya hizo mechi 9 ndio zitamuharibia na hilo kombe atalisikia kwenye bomba.
 
Baada ya kuingia walker kucheza back four maana yake pep kasharidhika na magoli ,kama pep ananjaa na magoli haweza kucheza vile ...

Stone kuwa inverted midifilder ndio mfumo wa pep ,kutafuta ushindi ....

Ake --- dias --- akanji ,,,tegemea wakianza game ya buyern ...
Sasa walker si kaingia wakati bado tunaongoza goli moja!!
Kwamba pep alikua asharidhika na hilo goli 1?

Kuhusu ake,dias na akanji kuanza hilo wala sio la kujadili, ipo wazi kabisa hiyo.

Hoja yangu ilikuwa kwamba formation ya kuanza na mabeki wanne ambapo mmoja anakuwa kama midfielder (stones) inatufanya tunakuwa vulnerable kwenye counter, kama umeangalia mechi ya jana na ile ya liva utagundua hilo.

Walker alivyoingia na kufanya turudi kwenye formation ya back four (ake...dias...akanji...walker), tukawa salama kukawa hakuna threats za soton kama mwanzo.
 
Kama kuna timu za kijinga basi liverpool ni ya kwanza.
 
Nawahakikishia hawatoamin walianza na wachovu wakajua wamemaliza kumbe miamba hawajaigusa
 
Oyaa, arsenal hawako serious, bado hawana mentality za kibingwa.

Arsenal akichukua hii ligi itakuwa ni aibu na fedheha kwa ligi ya uingereza.
 
Arsenal wajinga kweli walivyoongoza goli 2 nikazima na tv nakuja kucheki nakuta 2-2.
Sasa hii timu haijui hata maana ya race ni nini, washazoea kushindania nafas za europa, hivi vitu vigen kwao.
 
Back
Top Bottom