Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Baada ya kuingia walker kucheza back four maana yake pep kasharidhika na magoli ,kama pep ananjaa na magoli haweza kucheza vile ...Tumeshinda ndio lakini kuelekea UCL Match na bayern kuna mapungufu bado tunayo, COUNTER ATTACKS.
Kwenye mechi ya liverpool na ya jana tulikuwa tuna struggle sana kudefend counter attacks, tunakuwa exposed hasa kwa huu mfumo wa back three.
Kama soton wangekuwa na striker na winga mzuri, ile game tungekuwa na wakati mgumu sana.
Jana baada ya kuingia walker na kuanza kucheza back four unaona namna tulivyoanza kuwa comfortable & stable pale nyuma.
Tukienda na back three kwa bayern tunaweza kuadhirika.
Sasa walker si kaingia wakati bado tunaongoza goli moja!!Baada ya kuingia walker kucheza back four maana yake pep kasharidhika na magoli ,kama pep ananjaa na magoli haweza kucheza vile ...
Stone kuwa inverted midifilder ndio mfumo wa pep ,kutafuta ushindi ....
Ake --- dias --- akanji ,,,tegemea wakianza game ya buyern ...
akutane na Southampton, then Chelsea then man city, there after st James Park's Park NewcastleMkuu hasira ya ninj kikichobaki kila mtu ashinde mechi zake halafu tuone May nani atachukua ndoo. Kiuhalisia ukiangalia nyinyi mna fixture ngumu compared na yetu
Hapo lazima adondoshe alama kama 3. City are going to win a treble this seasonakutane na Southampton, then Chelsea then man city, there after st James Park's Park Newcastle
Na sio kushinda tu, kushinda kwa kishindo sababu kuna uwezekano wa kuja kuamuliwa na Goal Difference.Hapa kilichobaki tushinde mechi zetu zilizosalia harufu ya ubingwa inanukia
Zimebaki mechi 9, kwenda winning streak ya 9 matches sio ajabu, tukaze buti.Mpaka hapa tukisema tuwin game zote tulizobakisha ,basi epl tunachukua....