Hapa siongelei makombe acha kudandiadandia.Acha ujinga wewe Manshit Arsenal Ni timu kubwa mara million ya Manshit
Kesho buyern lazima tumzuie ...Pepo ana gundu na UEFA champions league
sasa manshity n tim kubwa[emoji51]Buyern akikutana na team kubwa CL huwa ana turn up hatari ...
Mara nyingi huwa anatolewa kizembe na team ndogo ...
Back 3 inatufanya tunakuwa na control kubwa ya mpira ila tatizo linakuja kwenye counter,, pep akikomaa na back three kesho tukijitahidi sana matokeo ni 2-2, 3-2 n.k ambayo sio nzuri kwa knockout games.Kesho movement za kina Sane ,mane ,gnabry mazee ....
Cancelo na alphons Davies watakuwa wanapanda sanaa .....!!
Tucheze na back 4 mazee ,tusije kula nyingi ,walker must start ....
Nop bro.Acheni uoga yaani nawahakikishia bayern katoka hana kitu mbele yetu msiishi kwa historia
Sure mkuu back 3 tucheze na Hao kina soton ...Nop bro.
Ni facts wala sio uoga.
Msimu uliopita wakati tunacheza na madrid first leg pep aliingia na back three ya laporte, dias na fernandinho huku zinchenko akicheza kama midfielder, kilichotokea unakijua, madrid wakifanya counter attacks tunabaki uchi matokeo yake tukaruhusu goli 3 nyumbani.
Second leg pep akaweka back four na tukawa solid haswa, ni vile hatukuwa na bahati tu.
UEFA inatakiwa kulinda magoli na sio kufunga tu.
Hiyo back three tuwaonee kina soton na bornemouth.
Unasmart nendaa hata google wakusaidie kujua maana ubongo wako umeshindwa hata kuchanganua mambo" the best club in the world" ...sasa manshity n tim kubwa[emoji51]
Pep kama kaliona hili ni jambo jema, UEFA inaitaji kucheza kwa heshima sio kufungukafunguka tu.Pep has hinted that he might play kyle walker on the right back side considering bayern's attacking threat.
I wonder if pep is just playing mind games and will still stick to his back 3 formation against energetic bayern.
Sio madrid tu, hata game ya southampton bado kulikua na matatizo hayohayo, tulikuwa tunastruggle sana kudeal na pace ya soton na tulikuwa exposed mno hasa kwenye wide areas ni vile tu soton hawana cruel attackers.Nop bro.