The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bayern watamkosa top scorer wao, Eric Maxim Choupo-moting.
 
sisi kumuuza cancelo zinchenko na Jesus so wajinga wale watashangaa tukinyanyua makwapa takribani mara 3 msimu huu Mark my words.
Zincheko hamna beki pale, kwa uefa asingetufaa kabisa namna alivo uchochoro.
 
Zinchenko ni mzuri akiwa anashambulia ...ila team ikiwa Haina mpira ,hawez kudefend ...
Na ndio maana hafai.
Beki ambae ni mzuri kushambulia tu kudefend hawez hafai kwenye mashindano ya mikiki na ujanja ujanja kama uefa.

Zinchenko defensively ni zero kabisa.
 
In case pep akaanza na back four kama alivyosema, naona CB atapiga Ruben Dias na Stones sababu kwa form ya stones recently, ni ngumu kumdrop.

Pep naona atakuwa na wakati mgumu kuchagua kati ya Akanji na Stones.

Let's keep waiting.
 
Na ndio maana hafai.
Beki ambae ni mzuri kushambulia tu kudefend hawez hafai kwenye mashindano ya mikiki na ujanja ujanja kama uefa.

Zinchenko defensively ni zero kabisa.
Zincheko kwenye kudefend utamuonea tu.
Timu ikikaa na mpira utampenda but unfortunately, timu haiwezi kukaa na mpira all the time, he need to be solid.
 
Hata akianza walker fullback bado atakuwa inverted pia.
Tofauti na stones, walker yeye ana speed ya kuja kufanya quick recovery.
 
Hata akianza walker fullback bado atakuwa inverted pia.
Tofauti na stones, walker yeye ana speed ya kuja kufanya quick recovery.
Nop, pep kashasema walker hayuko technical enough kucheza hiyo role.
Hata ukiangalia kwenye game ya soton, walker alivyoingia, timu ilirudi kucheza na ordinary back four walker akitumia muda mwingi kucheza kama fullback zaidi.
 
Manuel Akanji hatocheza second leg iwapo atapata yellow card leo.
 
Hii system ya high line huenda ndio inatufanya tunakuwa vibonde uefa miaka yote, mpaka sasa imeshaprove failure.

Ukiangalia centre backs wetu hawana speed, kipa sio shot stopper halafu bado tunacheza high line, sio ajabu tunafungika kirahisi.

Kama tusipobeba hili kombe mwaka huu, pep inabidi aangalie huu mfumo wake upya.
 
Liverpool kwenye ubora wao wamecheza sana hii high line na wamebeba uefa na kufika fainali mara kadhaa.
High line huyu huyu pep kaitumia sana pale barca na kabeba makombe ya uefa.
 
Liverpool kwenye ubora wao wamecheza sana hii high line na wamebeba uefa na kufika fainali mara kadhaa.
High line huyu huyu pep kaitumia sana pale barca na kabeba makombe ya uefa.
VVD ana pace kuliko stones/dias na hata kama ikitoa defence ya liva imekua outpaced, Allison alikuwa anawaokoa.
What about ederson?

Angalia mara zote tulizotolewa uefa, utagundua tumekuwa wahanga wakubwa sana wa hii high line.

The same kwa barca, victor valdes alikuwa kipa mzuri in terms of goal keeping kuliko ederson, defence ya barca ikizidiwa, jamaa alikuwa na uwezo wa kuwaokoa.
 
Hiki kitu hata mimi nilishakiongea humu..city tungekuwa na shot stopper aina ya curtois, allison, cech, van der saar, de gea, mendy tungekuwa na uefa walau moja japo bahati mbaya ni kuwa asilimia kubwa ya makipa wa aina hiyo sio wazuri kwenye collective build up na hawana excellent footwork lakini angalau wanaweza kufanya majukumu yao ya msingi kabisa, kulinda goli.

With ederson ni kama vile huwa tunacheza 11 uwanjani bila kipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…