The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Business as usual, pep anataka Ku colonize midfield kama kawaida, wale wakimbiaji pale mbele nawawaza tutawazuia vipi wakati watakapo break free kwenye counter
 
DJ Walete hao wajerumani walete walete ETIHAD kila goti litapigwa.
 
Mara ya mwisho kucheza na Bayern etihad tulishinda goli 3-2 mwaka 2013...
Our very own kun aguero banged a hat trick.
 
Back
Top Bottom