Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Back 3 Leo tutaumbuka mapema aisee..Business as usual, pep anataka Ku colonize midfield kama kawaida, wale wakimbiaji pale mbele nawawaza tutawazuia vipi wakati watakapo break free kwenye counter
Tena ilikuwa ni comeback, leo 3 atazinywa tena.Mara ya mwisho kucheza na Bayern etihad tulishinda goli 3-2 mwaka 2013...
Our very own kun aguero banged a hat trick.
GugoHii mechi naicheki wapi wadau
Let LINK basi !Gugo
Rodri kakushika matakoPepo ana gundu na UEFA