The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Harafu huyu Arteta afanye kukabidhi tu ubingwa wetu kombe lenyewe linafahamu ambako huwa linakwenda ni sawa na maji ambamo huwa yanapita huwa hayasahau hata mvua iache vipi kunyesha.
 
Nakubali jamaa Kawa bonge la mchezaji afu now anajiamini sana pep anauwezo mkubwa sana wa kupandisha Graf ya mchezaji
Yaani anavyokaba hana papara anatumia akili zaidi. Huwezi amini msimu uliopita alistruggle kupata namba. Pep mchezaji usipompa anachotaka utasugua sana benchi na wale wachezaji wanaojituma ndio wanaopata namba. Cancelo alijiona star akashindwa kupambania namba na dogo under 18 akaoneshwa njia. Pep fundi ukuta wote wanacheza maCB .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…