Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Alvarez deserved a goal tonight.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora umeoangea ukweliTuchel kaichukua timu wakat mbaya sana, mwenzake alifukuzwa pamoja na kuifikisha timu hapo ilipo
Yaani anavyokaba hana papara anatumia akili zaidi. Huwezi amini msimu uliopita alistruggle kupata namba. Pep mchezaji usipompa anachotaka utasugua sana benchi na wale wachezaji wanaojituma ndio wanaopata namba. Cancelo alijiona star akashindwa kupambania namba na dogo under 18 akaoneshwa njia. Pep fundi ukuta wote wanacheza maCB .Nakubali jamaa Kawa bonge la mchezaji afu now anajiamini sana pep anauwezo mkubwa sana wa kupandisha Graf ya mchezaji
Tumia dawa 3Naona sura za mashabiki wengi wa Man city ni wachina, Thailand, Korea, nchi zilizochelewa kuujua mpira.
Kweli huyu lifanyike la kufanya aongezewe mpunga ili aendelee kubaki Etihad ana vitu adimu sana huyu mwamba.Bernadooo why do you want to leave us aaaargh