Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
mkabisha bayern cku izi chupi tyu angalia mechi zao yani ni upupuBack 3 Leo tutaumbuka mapema aisee..
Walete arsenal kudadekii [emoji23]Mm shabiki wa Arsenal hii performance ya City Leo imeniogopesha sana
Na bado hujaongopa zaidi subiri tarehe 26 ndo utaelewa tofauti ya mvulana na Mwanaume[emoji38][emoji38]Mm shabiki wa Arsenal hii performance ya City Leo imeniogopesha sana
Munich wana hilo tatizo la Striker, wamsajili Vlahovic ku-save career yake, win-win situation. Gnabry sio striker, Gnabry sio Cruyff, wala si Van b
ile mishuti ya sane sio poa ...Dias na ake Leo wangewaonea huruma Bayern jamaa wana roho mbaya sana
Naye pia ana mistake zake pamoja na ivyo mfano gnabry msimu huu kaza game chache sana lakin Leo kaanza kweny game ngumu kama hii kipind Cha pili kinaanza tu sub ya sadio mane ilikua ya lazima lakin kaja kuingia 70 huko ila yoyote Kwa yoyote pepe kacheza mechi Kwa tahadhari kubwa sana nimependa alivoanza na John stone na Rodri kweny eneo la kiungo mkabaji what a performance from AkeTuchel kaichukua timu wakat mbaya sana, mwenzake alifukuzwa pamoja na kuifikisha timu hapo ilipo
Pep kajitoa mhanga kaingia na back 3 ya akanji - dias - ake [emoji23][emoji23][emoji23]Ila timu za ujerumani huwa tunapiga aisee dah.
Jipe moyo best team in the world 🌎 recently is Manchester City....so you have to think be you provoke....do you want to chase out the holy spirit in me..UEFA ina timu zake tunawakumbusha kabisa