The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Unaambiwa pale etihad kila goti litapigwa kumtukuza haaland.
 
The man himself
championsleague-20230412-0002.jpg
 
Dias na ake Leo wangewaonea huruma Bayern jamaa wana roho mbaya sana
 
Tuchel kaichukua timu wakat mbaya sana, mwenzake alifukuzwa pamoja na kuifikisha timu hapo ilipo
Naye pia ana mistake zake pamoja na ivyo mfano gnabry msimu huu kaza game chache sana lakin Leo kaanza kweny game ngumu kama hii kipind Cha pili kinaanza tu sub ya sadio mane ilikua ya lazima lakin kaja kuingia 70 huko ila yoyote Kwa yoyote pepe kacheza mechi Kwa tahadhari kubwa sana nimependa alivoanza na John stone na Rodri kweny eneo la kiungo mkabaji what a performance from Ake
 
Back
Top Bottom