Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Bila UCL,Super cup,World club cup unawezaje kujiita best team bila aibuJipe moyo best team in the world [emoji289] recently is Manchester City....so you have to think be you provoke....do you want to chase out the holy spirit in me..
Tap in marchantRecord breaker ..View attachment 2584898
🤣🤣🤣🤣🤣 wewe subiri sasa pale Istanbul tukinyanyua makwapa ndo utajua ni best or not yaani kila mtu kajawa na uogaBila UCL,Super cup,World club cup unawezaje kujiita best team bila aibu
Kama tap in ni simple kmuulize nunez ,...Tap in marchant
Ndiomaana likaitwa jini zee la kuibia yaani ndo linaongoza kwa offside nyingi dunia nzimaKama tap in ni simple kmuulize nunez ,...
Au kawaulize buyern wamevosurubiwa dakika 90 wamekosa hata tap in space [emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Bayern hana uwezo wa kufunga goli 3 city labda kama umeanza kufatilia mpira juzi...!!Hongereni Man City LKN tie bado haija isha.
Bayern wana uwezo wa kufunga bao nyingi nyumbani kwao
Mkaze sana kuvuka
Sawa kengeNdiomaana likaitwa jini zee la kuibia yaani ndo linaongoza kwa offside nyingi dunia nzima
Vilevile halina goli hata 3 alizofunga kutoka nje ya 18 yard box yaani lishukuru linatafuniwa ni kumeza tu shwaaa ila magoli ya mbali kama Lewy,CR7,Rooney na Aguero haliwezi[emoji706][emoji706]
Do goal(s) scored outside the box count as 3? Appreciate the lad he is a goal machine maybe ready to continue the Messi/Ronaldo Legacy alongside MbappeNdiomaana likaitwa jini zee la kuibia yaani ndo linaongoza kwa offside nyingi dunia nzima
Vilevile halina goli hata 3 alizofunga kutoka nje ya 18 yard box yaani lishukuru linatafuniwa ni kumeza tu shwaaa ila magoli ya mbali kama Lewy,CR7,Rooney na Aguero haliwezi[emoji706][emoji706]
e yakoMuombe Madrid watolewe
Bayern hana uwezo wa kufunga goli 3 city labda kama umeanza kufatilia mpira juzi...!!
TT sio kocha usimuamini jobless yaani utamuanzshaje benchi mchezaji kama Cancelo,Mane,Muller??