The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Do goal(s) scored outside the box count as 3? Appreciate the lad he is a goal machine maybe ready to continue the Messi/Ronaldo Legacy alongside Mbappe
Hawezi kuvunja izo record labda team nyngne ziwe zimelala wakishamjulia tu kaisha

Anyway mechi 7 in a row jini hajawai kushinda akiwa na dortmund vs Bayern leo ndo mara ya kwanza kashinda na city hii inaonesha dhahiri anapikiwa yeye ni kumeza tu

Anyway Jini Braut Baleke Haland anajua kuzifumania nyavu
 
Kwamba mpaka saivi hawajamjulia?
Mpira kaanza kuucheza Leo?

Au usikute ni kenge kweli ndio inatype humu
 
Citizens huu mwaka tufanye maajabu jamani.

Ila unaweza shangaa, tukafika pale [emoji2522] [emoji629] tukatolewaa, maana Man city sijui tukojee yaan.

Hadi naogopaaa
 
Mwaka huu tunaburuza mpaka Istanbul kwenda kuchukua mwali.
 
Jamani mwenzenu hadi dakika ya 25 1st half, mapigo ya moyo hayakuwa mahali pake nikiangalia ubao hausomi dah! ashukuliwe Mungu kwa kutuondolea aibu hii.
 
Pep Leo aliwapa majukumu grealish na bernado kuwa wanashuka chini kuja kusaidia ukabaji na hii imesaidia sana kupunguza threat ya Bayern.

Mahrez asingeweza kufanya hiyo kazi nadhani ndio sababu kaanzia benchi.
 
Jamani mwenzenu hadi dakika ya 25 1st half, mapigo ya moyo hayakuwa mahali pake nikiangalia ubao hausomi dah! ashukuliwe Mungu kwa kutuondolea aibu hii.
The tie is still on, inatakiwa twende tukawamalize kulekule kwao yasije tukuta ya Madrid.
 
Bayern wameyakanyaga.

Hii city inakuchapa hadi uvunguni mwa kitanda chako.. Tukutane Nusu Fainali
 
Back
Top Bottom