kayamtumbi
Senior Member
- Aug 6, 2022
- 134
- 136
Madrid alitutoa sababu tulishindwa kumaliza game napema. Makosa ya Legend Fernandinho. Msimu huu Pep yupo ruthless zaidi sidhani hao Madrid watakua na nafasi dhidi ya City hii ya msimu yenye njaa na Treble. Time will tellMuombe Madrid watolewe
Madrid ndio nini?Muombe Madrid watolewe
🤣🤣🤣🤣🤣 cancelo anafanya cha ajabu mbele ya alipotokaPale ndo kaonyesha hamnazo hasa kwa Muller na Mane
Andika vitu vinavyoeleweka mkuu ,hapa umeandika nin [emoji23][emoji23]Na kuambia humu kila siku mtakuja na mwishowe mtabadili timu cku so nyingi
Uzuri ni kwamba hata sisi tutawazibua huko huko kwao.Hongereni Man City LKN tie bado haija isha.
Bayern wana uwezo wa kufunga bao nyingi nyumbani kwao
Mkaze sana kuvuka
Mwenye kombe lakeMadrid ndio nini?
Dias alikuwa anajitupa mzima mzima, hakuna kupeleka shuti golini.Mane anaingia watu wanashangilia mara oooh alishaifunga city goli 10+ wakati yupo Liverpool...
Sasa Leo alikuwa haonekani ...
Cancelo naye kaishiwa kuzomewa ..
Muller huwa namuogopa ila Leo kafichwa msitu mzito ...
Stone ni underrated defender ,ila ni bonge la solid defender ,..
Dias Leo kila alilokuwa anafanya ilikuwa sawa ,kapiga broke zote Kali zilizokuwa zinaingia golin ...
Yalikua maneno yake mwenyewe TTMkuu na Kenge ulianzisha uzi wa tuchel kusema bayern ana vinasaba vya ushindi leo nini kimempsta