Hawezi kuvunja izo record labda team nyngne ziwe zimelala wakishamjulia tu kaishaDo goal(s) scored outside the box count as 3? Appreciate the lad he is a goal machine maybe ready to continue the Messi/Ronaldo Legacy alongside Mbappe
Lijinga sana hata Cancelo ilikua sio wa kumuacha na yule upn ndo kachoma hawa goli la pili ni uzembe wa beki yulePale ndo kaonyesha hamnazo hasa kwa Muller na Mane
Umeshikiwa bunduki wapi [emoji23]Itabidi nipumzike kwanza kuishabikia man city maana naona inanipa wakati mgumu sana wakuu
Kwamba mpaka saivi hawajamjulia?Hawezi kuvunja izo record labda team nyngne ziwe zimelala wakishamjulia tu kaisha
Anyway mechi 7 in a row jini hajawai kushinda akiwa na dortmund vs Bayern leo ndo mara ya kwanza kashinda na city hii inaonesha dhahiri anapikiwa yeye ni kumeza tu
Anyway Jini Braut Baleke Haland anajua kuzifumania nyavu
Bado hawajamjua vzur jinsi ya kumkaba wanamvutia mudaKwamba mpaka saivi hawajamjulia?
Mpira kaanza kuucheza Leo?
Au usikute ni kenge kweli ndio inatype humu
Ni kikosi kipana tu game ya Soton juzi alianza mahrez na silva akala benchiKuna hatari mahrez akaanza kusugua benchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maybe bao za kwenye gahawa!Hongereni Man City LKN tie bado haija isha.
Bayern wana uwezo wa kufunga bao nyingi nyumbani kwao
Mkaze sana kuvuka
We kweli KENGE 01Bila UCL,Super cup,World club cup unawezaje kujiita best team bila aibu
Mwaka huu tunaburuza mpaka Istanbul kwenda kuchukua mwali.Citizens huu mwaka tufanye maajabu jamani.
Ila unaweza shangaa, tukafika pale [emoji2522] [emoji629] tukatolewaa, maana Man city sijui tukojee yaan.
Hadi naogopaaa
Na iwe hivi jamani.Mwaka huu tunaburuza mpaka Istanbul kwenda kuchukua mwali.
The tie is still on, inatakiwa twende tukawamalize kulekule kwao yasije tukuta ya Madrid.Jamani mwenzenu hadi dakika ya 25 1st half, mapigo ya moyo hayakuwa mahali pake nikiangalia ubao hausomi dah! ashukuliwe Mungu kwa kutuondolea aibu hii.
Hahhahaaaa wao wenyewe washakubali yaishe kazi nyepesi sana tulobakiza, na tuna kiu sana na huyu Madrid halooo!The tie is still on, inatakiwa twende tukawamalize kulekule kwao yasije tukuta ya Madrid.