The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Manchester city ni broila bila sheikh mansour ni sawa na stoke city au Wigan athletic
Unatakaje sasa mpira pesa blood nunua talents hatununui super stars kama PSG tuna nunua vipaji haswa
 
Dah sikutegemea Bavarians tutakufa goli nyingi hivi, city wamefaidika mno na makosa ya wale wapuuzi wawili, lack of confidence imetuangusha sana Bavarians, mechi ishakuwa ngumu tayari sifikirii city kama watazembea kiasi hicho kuturuhusu tuwatoe UCL second leg ijapokuwa najua tu mbugi pale Allianz arena itakuwa do or die Kwa Bavarians...niwapongeze man city Mimi kama Bavarians fan imenishangaza.
 
Safi
 
Jana baada ya kumuona stones kwenye line up, nkajua atacheza inverted role but I was wrong.

Stones jana alikua center back ambaye alikua anapanda vertically kwenye midfield timu ikiwa na mpira, na anashuka kuungana na dias timu ikiwa haina mpira, akanji ndio anakua fullback.

Nadhani kwasababu akanji ni mwepesi kiasi kuliko stones.
 
Dah sikutegemea Bavarians tutakufa goli nyingi hivi, city wamefaidika mno na makosa ya wale wapuuzi wawili, lack of confidence imetuangusha sana Bavarians, mechi ishakuwa ngumu tayari sifikirii city kama watazembea kiasi hicho kuturuhusu tuwatoe UCL second leg ijapokuwa najua tu mbugi pale Allianz arena itakuwa do or die Kwa Bavarians...niwapongeze man city Mimi kama Bavarians fan imenishangaza.
Ukiacha makosa ya mabeki ila wale madogo kule mbele Gnaby na colman walizingua pia angalau angeanza Muller na chuopo moting mngepata chochote
 
Back
Top Bottom