Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Hope kdb atakuwa fiti.Only Phil foden is the confirmed absentee for the clash against leicester city.
Kevin De Bruyne is the only doubt.
It's obvious kwamba gundo anaenda barca ila agent wake mpaka sasa anakataa madai ya Gundogan kufikia makubaliano na barca.Gundogan ndio anatuacha hivyo.
Barcelona wako kwenye hatua za mwisho kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili pale barca.
Personal terms agreed.
Binafsi naona bellingham ni perfect replacement ya gundogan.Bellingham kuondoka pale dortmund dirisha lijalo ni ngumu maana hiyo price tag ni pasua kichwa, japo unaweza ukasema financially, €110 million si kitu kwa city lakini kwa mtazamo wangu, hiyo pesa tunaweza tukapata viungo wengine 2 wazuri tu.
Jana ametrain na timu kama kawaida.Hope kdb atakuwa fiti.
Old Trafford na Emirates ni Moja ya viwanja vya hovyo kabisa,vinavuja maji ,mvua ikinyesha ....Uwanja wa Etihad umechaguliwa kuwa miongoni mwa viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya mashindano ya EURO mwaka 2028 iwapo Uingereza na Ireland watakubaliwa ombi lao la kuandaa mashindano hayo.
Viwanja vingine vilivyotajwa ni:-
-St. James park
-Goodison park
-Hampden park
-Dublin arena
-Wembley
-Casement park
-Wales national stadium
-Villa park
-Tottenham hotspur stadium.
Phillips hajapewa muda aisee hata grealish tulimchukulia poa ,saizi anaonesha kiwango chake ...Bernado silva pia anaweza kuondoka kama akipata timu itakayolipa pesa itakayopendekezwa.
Kalvin phillips wanamtaka aston villa, west ham na leeds.
Pale kwenye kiungo itahitajika pesa ya kutosha.
Unazunguka na kanga moko imelowa ,kama unataka sema wanaume tukushughulikie ,tukukamie ...Watoto wazuri mmeshakunywa uji ?
Kwa uwepo wa rodri na kwa hatua tuliyopo sasa hivi, ni ngumu sana kalvin kucheza.Phillips hajapewa muda aisee hata grealish tulimchukulia poa ,saizi anaonesha kiwango chake ...
Kalvin Phillips ni swala la muda tu ,siku akipata dakika za kutosha tegemea kukiwasha ...
Tunazihitaji point 3 kuliko wanavyozihitaji wao, hakuna cha new coach bounce wala nini though hawatokua wepesi kivile ila pale etihad kila goti litapigwa.Vijana wa Dean Smith leo wanatua pale Etihad stadium kuja kujaribu kufufua matumaini ya kubaki ligi kuu.
Bahati mbaya kwao ni kwamba wanakuja kucheza na "monsters" ambao wana njaa ya kutetea kombe lao.
Poor Leicester.