The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bellingham kuondoka pale dortmund dirisha lijalo ni ngumu maana hiyo price tag ni pasua kichwa, japo unaweza ukasema financially, €110 million si kitu kwa city lakini kwa mtazamo wangu, hiyo pesa tunaweza tukapata viungo wengine 2 wazuri tu.
Binafsi naona bellingham ni perfect replacement ya gundogan.
 
Leicester City tuna jambo letu Leo
Mwacity mkishinda leo nipo pale
PATSON DAKA HAT TRICK [emoji91][emoji91][emoji91]
Haaland red card [emoji3532]
 
Pep on players fitness.

"with this demanding schedule of games every three or four days, we have to take care of them (players) with nutrition,rest,food,sleep.

"For the training, how many minutes there is data, sometimes they cannot train more than 10 or 15 minutes."
 
Uwanja wa Etihad umechaguliwa kuwa miongoni mwa viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya mashindano ya EURO mwaka 2028 iwapo Uingereza na Ireland watakubaliwa ombi lao la kuandaa mashindano hayo.

Viwanja vingine vilivyotajwa ni:-

-St. James park
-Goodison park
-Hampden park
-Dublin arena
-Wembley
-Casement park
-Wales national stadium
-Villa park
-Tottenham hotspur stadium.
Old Trafford na Emirates ni Moja ya viwanja vya hovyo kabisa,vinavuja maji ,mvua ikinyesha ....
 
Bernado silva pia anaweza kuondoka kama akipata timu itakayolipa pesa itakayopendekezwa.

Kalvin phillips wanamtaka aston villa, west ham na leeds.

Pale kwenye kiungo itahitajika pesa ya kutosha.
Phillips hajapewa muda aisee hata grealish tulimchukulia poa ,saizi anaonesha kiwango chake ...

Kalvin Phillips ni swala la muda tu ,siku akipata dakika za kutosha tegemea kukiwasha ...
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "Before, we changed to false-nine with Gabriel Jesus. Now with Julián Álvarez, we cannot do it... Of course, Julian has more movements behind than Erling Haaland.."
 
Phillips hajapewa muda aisee hata grealish tulimchukulia poa ,saizi anaonesha kiwango chake ...

Kalvin Phillips ni swala la muda tu ,siku akipata dakika za kutosha tegemea kukiwasha ...
Kwa uwepo wa rodri na kwa hatua tuliyopo sasa hivi, ni ngumu sana kalvin kucheza.

Alikua na nafasi ya kupata dakika mwanzoni mwa msimu lakini akawa na majeruhi bandika bandua.
Akaja kuanzishwa mechi ya soton carabao akashindwa kudeliver.

Kwa hatua hizi za mwishoni, pep kashasema "there is no time for rotation"
 
Vijana wa Dean Smith leo wanatua pale Etihad stadium kuja kujaribu kufufua matumaini ya kubaki ligi kuu.

Bahati mbaya kwao ni kwamba wanakuja kucheza na "monsters" ambao wana njaa ya kutetea kombe lao.

Poor Leicester.
 
Vijana wa Dean Smith leo wanatua pale Etihad stadium kuja kujaribu kufufua matumaini ya kubaki ligi kuu.

Bahati mbaya kwao ni kwamba wanakuja kucheza na "monsters" ambao wana njaa ya kutetea kombe lao.

Poor Leicester.
Tunazihitaji point 3 kuliko wanavyozihitaji wao, hakuna cha new coach bounce wala nini though hawatokua wepesi kivile ila pale etihad kila goti litapigwa.

Leo ni zamu ya leicester, akitoa game tough sana basi 2:0.
 
FLASHBACK

Tarehe kama ya leo, mwezi kama wa leo, mwaka 2018, Man City ilitangazwa mabingwa wapya wa EPL baada ya Machester united kupoteza mchezo wao mbele ya West brom kwa goli 1-0 huku zikiwa zimebaki mechi 5.

Katika msimu huo wa aina yake, tulifanikiwa kuvunja na kuweka rekodi kadhaa tamu na za kusisimua. Rekodi hizo ni kama zifuatazo.

1. Kumaliza na pointi nyingi zaidi ndani ya msimu mmoja ambapo haijawahi kutokea katika historia ya ligi kuu uingereza (pointi 100).

2. Kubeba pointi sawa katika viwanja vya nyumbani na ugenini (point 50 nyumbani,point 50 ugenini)

3. Kushinda mechi nyingi zaidi mfululizo (mechi 18) ambapo safari hiyo tuliianza mwezi August kwa ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Bournemouth na kutamatika mwezi December kwa sare ya 0-0 dhidi ya Crystal palace.

4.Uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa (Goal difference) mkubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika ligi hiyo (+79 goals)

5. Tofauti ya pointi kubwa zaidi kati ya bingwa na mshindi wa pili (point 19)

What a season for the Cityzens.
 
Nathan Ake on his improvement at City.

"A few people may take a season for everything to click, for me it was the same. The first season that I came it wasn't my best in terms of football"

"Naturally, my confidence went down even without knowing and I was playing in a different kind of play. The second season, I was already improving and getting better, understanding a little bit more about the club and the manager"

"This season I think everything has just clicked from there, I have just grown and the manager has helped me a lot"
 
Back
Top Bottom