The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wakati foden anaikiwasha CL mwaka Jana nan alitegemea atakuja kucheza dakika chache season hii ...

Mahrez our champion league hero magoli yake yalikuwa yanatupeleka final ,Leo muda umekuwa mchache ,saizi tunaona kikosi kingine kabisa kama grealish ,ndio wanatupeleka CL semi final ...

So next season you never know rodri ataanza vipi ,kama grealish ambavo hakutegema angeweza kufit kwenye mfumo kina foden na Mahrez wakiwepo ...ndivo hivo hivo kalvin Phillips atacheda vzuri rodri akiwepo ..
 
Tunazihitaji point 3 kuliko wanavyozihitaji wao, hakuna cha new coach bounce wala nini though hawatokua wepesi kivile ila pale etihad kila goti litapigwa.

Leo ni zamu ya leicester, akitoa game tough sana basi 2:0.
Etihad siku hizi ni pahala patakatifu,hakuna mtu kuchukua point.

Hiyo bounce wataifanyia game ijayo sio etihad.
 
Kalvin anaweza kuuzwa.
 
Three changes

City starting XI

Ederson
Walker
Stones
Dias
Laporte
Rodri
KDB
Bernardo
Grealish
Haaland
Mahrez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…