Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Wakati foden anaikiwasha CL mwaka Jana nan alitegemea atakuja kucheza dakika chache season hii ...Kwa uwepo wa rodri na kwa hatua tuliyopo sasa hivi, ni ngumu sana kalvin kucheza.
Alikua na nafasi ya kupata dakika mwanzoni mwa msimu lakini akawa na majeruhi bandika bandua.
Akaja kuanzishwa mechi ya soton carabao akashindwa kudeliver.
Kwa hatua hizi za mwishoni, pep kashasema "there is no time for rotation"
Mahrez our champion league hero magoli yake yalikuwa yanatupeleka final ,Leo muda umekuwa mchache ,saizi tunaona kikosi kingine kabisa kama grealish ,ndio wanatupeleka CL semi final ...
So next season you never know rodri ataanza vipi ,kama grealish ambavo hakutegema angeweza kufit kwenye mfumo kina foden na Mahrez wakiwepo ...ndivo hivo hivo kalvin Phillips atacheda vzuri rodri akiwepo ..