Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Anashuka wapi we tahira?Leo nafurahi Arsenal anashuka rasmi na hatarudi tenaaaa.
Ngoja kwanza Halaand afunge la goli Lake la tatuHapa tunacheza na wafu, pep afanye sub tuwasubiri Bayern hamna timu hapa
Pep huwa hakawii, second half kidogo tu utaona kibao kileee haaland out.Ngoja kwanza Halaand afunge la goli Lake la tatu
Hiii game tumemaliza ndani ya dakika 30 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa tunacheza na wafu, pep afanye sub tuwasubiri Bayern hamna timu hapa