The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The citizen 🤍🤍🤍
Tunamtaka arsenyeto hata sshv
Tuna hasira na Madrid ndyo tunamtaka haswa
Tupeni kombe letu
 
.
mancity-20230415-0001.jpg
 
Team yetu kwa Sasa ina monster mentality,hakuna team itakayokatiza [emoji91][emoji91]
 
Saizi ni kuhakikisha goal difference inakuwa kubwa [emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]
mancity-20230415-0002.jpg
 
Toa halaand weka Alvarez.
Toa grealish weka palmer
Toa dias, weka Rico lewis akacheze left back laporte arudi center.
Toa rodri weka kalvin
 
Back
Top Bottom