Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Westham tunawapenda mno
Ndumba mpaka ulaya zpoIla Gomez na palmer hawa madogo amna kitu aisee, huwa najiuliza kwanini palmer aliingizwa first team halafu McAtee akapelekwa Sheffield.
James McAtee yuko vizuri kuliko palmer.
Sergio gomez hana confidence, ile game ya carabao ndio aliniacha hoi, palmer at least anajitahidi.Ila Gomez na palmer hawa madogo amna kitu aisee, huwa najiuliza kwanini palmer aliingizwa first team halafu McAtee akapelekwa Sheffield.
James McAtee yuko vizuri kuliko palmer.
Hizi mechi kushinda zote wala sio tabu, cha muhimu tusipate injuries tu.tukishinda mechi zote zilizobaki ubingwa ni 100% hakuna cha GD wala bibi yake na GD.
Sasa hivi hata 1-0 inatosha cha muhimu point 3 zisiponyoke.
Hamna timu pale wale wakija etihad ni kujipigia tu.Arsenal wajinga kweli.
Sahivi wanaume wanajipigia comeback tu.
McAtee deal lake la mkopo linaisha mwisho wa msimu huu, summer anarudi, pamoja na tommy doyle.Sergio gomez hana confidence, ile game ya carabao ndio aliniacha hoi, palmer at least anajitahidi.
McAtee ana experience kubwa kuliko palmer hope atarudishwa msimu ujao.