The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tunamtaka Mwacity sasa
Najua unajua ninachokufanya Mwacity ni mchumba wangu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤍🤍🤍🤍🤍🤍
Halla Madrid
Benzema yulee [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Madrid wameonesha wanatoboka vizuri tu ila chelsea ndio wamekuwa wavivu kutumia nafasi.

Huyu tunaenda kumuua vizuri sana kwa mpira huo.
Kwa iyo mna uhakika kabisa mtakutana na Madrid NF? Wakati Kesho mtapigwa na Bayan 4-0!
 
Gundogan kasema mpaka sasa hakuna maamuzi yoyote yaliyofikiwa kuhusu future yake pale city.

Kulikuwa na tetesi kwamba tayari ameshakubali kujiunga na barca.
 
Tunamtaka Mwacity sasa
Najua unajua ninachokufanya Mwacity ni mchumba wangu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halla Madrid
Benzema yulee [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Takwimu zipo hivi

MAN CITY vs MADRID

matches played- 8
Man city won 3
Draw 2
Real madrid won 3

Ukumbuke pia hujawahi shinda Etihad ila mimi nishakuchapa palepale kwako sasa sijui huo uchumba unatoka wapi.
 
Wakamalia jaman mweny elfu moja anisaidie tuendelee kustak namba yang 0688272847 Nik Betpawa wakamalia msaada wak
 
Tunamtaka Mwacity sasa
Najua unajua ninachokufanya Mwacity ni mchumba wangu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halla Madrid
Benzema yulee [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huna mpira wa kuifunga man city msimu huu, chelsea mwenyewe angekua na striker mzuri jana alikua anakutoa kamasi.
 
Takwimu zipo hivi

MAN CITY vs MADRID

matches played- 8
Man city won 3
Draw 2
Real madrid won 3

Ukumbuke pia hujawahi shinda Etihad ila mimi nishakuchapa palepale kwako sasa sijui huo uchumba unatoka wapi.
Kenge tu huyo amna anachojua.
 
IMG_6060.jpg

Nyie Mwacity naona vipigo haziwatoshi
Mwacity kuchukua uefa ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Mna laana nyie
 
Atakayepita kati ya bayern na city ndiye atakutana na madrid.

Bayern hawezi kukomboa goli tatu leo, akifunga goli na yeye tunamtoboa pia.
Madrid muanze kujiandaa kukutana na dude linaitwa Haaland.
Kwa attacking combo ya grealish,haaland na mahrez/bernado, hapo nyuma yao unamkuta kdb na gundo wako wanafanya yao, sioni bayern ataepuka vipi kutikiswa nyavu.

Akifunguka tunampa 3 zingine, akipaki atakula pasi zisizo na idadi, achague yeye sasa ataaga mashindano kwa style gan.
 
Back
Top Bottom