Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Sawa ngoja tupangwe na Mwacity mtaeleza vzurMadrid akikutana na timu yenye firepower pale mbele, atarudishwa la liga mapema sana.
Chelsea hii game wangekuwa clinical & aggressive, madrid angekua na hali ngumu sana.
Kwa iyo mna uhakika kabisa mtakutana na Madrid NF? Wakati Kesho mtapigwa na Bayan 4-0!Madrid wameonesha wanatoboka vizuri tu ila chelsea ndio wamekuwa wavivu kutumia nafasi.
Huyu tunaenda kumuua vizuri sana kwa mpira huo.
Bayern asipokua makini tunamlisha vumbi tena kwa mara ya pili palepale kwake.Kwa iyo mna uhakika kabisa mtakutana na Madrid NF? Wakati Kesho mtapigwa na Bayan 4-0!
Kwa mpira ule, safari yenu imeishia hapo.Tunamtaka Mwacity sasa
Najua unajua ninachokufanya Mwacity ni mchumba wangu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Takwimu zipo hiviTunamtaka Mwacity sasa
Najua unajua ninachokufanya Mwacity ni mchumba wangu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halla Madrid
Benzema yulee [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Achana na kubet kafanye mambo mengine...Wakamalia jaman mweny elfu moja anisaidie tuendelee kustak namba yang 0688272847 Nik Betpawa wakamalia msaada wak
Huna mpira wa kuifunga man city msimu huu, chelsea mwenyewe angekua na striker mzuri jana alikua anakutoa kamasi.Tunamtaka Mwacity sasa
Najua unajua ninachokufanya Mwacity ni mchumba wangu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halla Madrid
Benzema yulee [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Atakayepita kati ya bayern na city ndiye atakutana na madrid.Sawa ngoja tupangwe na Mwacity mtaeleza vzur
Bayern tunaenda kumkojoza palepale allianz halafu uyo madrid atatueleza vizuri ilikuaje akabeba kombe msimu uliopita.Kwa iyo mna uhakika kabisa mtakutana na Madrid NF? Wakati Kesho mtapigwa na Bayan 4-0!
Kenge tu huyo amna anachojua.Takwimu zipo hivi
MAN CITY vs MADRID
matches played- 8
Man city won 3
Draw 2
Real madrid won 3
Ukumbuke pia hujawahi shinda Etihad ila mimi nishakuchapa palepale kwako sasa sijui huo uchumba unatoka wapi.
Kwa mpira ule, safari yenu imeishia hapo.
Kwa attacking combo ya grealish,haaland na mahrez/bernado, hapo nyuma yao unamkuta kdb na gundo wako wanafanya yao, sioni bayern ataepuka vipi kutikiswa nyavu.Atakayepita kati ya bayern na city ndiye atakutana na madrid.
Bayern hawezi kukomboa goli tatu leo, akifunga goli na yeye tunamtoboa pia.
Madrid muanze kujiandaa kukutana na dude linaitwa Haaland.