Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Pressure ya Allianz arena zile kelele si mchezoMpaka sasa tume defend vizuri sana, bayern wanakuja golini muda mwingi kuliko tunavyoenda kwao, inabidi tuwe clinical kwa vijinafasi tunavyopata, haaland angekua ashatuweka vifua mbele sahivi.
Kweli nyumbani ni nyumbani tuPressure ya Allianz arena zile kelele si mchezo
Tunahitaji utulivu zaidi, kuna baadhi ya nyakati tunajisahau.Kazi nzuri sana kwenye defence, Bayern wakishapata goli kabla yetu watatusumbua, tujitahidi tupate goli moja.