The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Inter Milan nae katoka 3-3 na benfica.

Semi final
Real Madrid vs City
Ac Milan vs Inter milan
 
Hallah Citizens
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]

Yaan mwaka huu hawa Madrid tuwafurushe km hatuwajui vileee, wasituzoee kupitilizaa khaaah.

Mwaka huu tufanye tunyanyue kwapaa jamaniii.
 
Mwaka huu formation ya city ipo vizuri naamin hili jukwaa litapamba moto baada ya kutoka na 🏆🏆🏆🏆 pale Istanbul
 
Hallah Citizens
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]

Yaan mwaka huu hawa Madrid tuwafurushe km hatuwajui vileee, wasituzoee kupitilizaa khaaah.

Mwaka huu tufanye tunyanyue kwapaa jamaniii.
mkuu makwapa this time ni lazima ondoa hofu
 
madrid ile game ya chelsea nimeona wako weupe sana ni vile tu chelsea nao wabovu, tuanze mahesabu tu ya final pale istanbul.
 
Back
Top Bottom