Hamstring hiyo, tuombe isiwe serious.Dah ake injury tena?
Kuna madrid mkuuCity namuona akichukua hii UEFA
Madrid nawapa nafasi finyu. Man city anaupiga mwingi sana japo kuna bahatiKuna madrid mkuu
Ameumia tu moja kwa moja kaomba sub, sjui itakuwaje.Damn, Ake anaenda wodini na fixture zilivyo tight dah.
Hii harmstring ndio ilimuweka stones nje wiki 4, halafu game ya arsenal wiki ijayo tu dah.Hamstring hiyo, tuombe isiwe serious.