Yeah wacha tusubiri updates tuone ikoje.Hii harmstring ndio ilimuweka stones nje wiki 4, halafu game ya arsenal wiki ijayo tu dah.
Ukizingatia kuna mechi za muhimu zinakuja dahLaporte sijui kama ata offer anacho offer ake ila kwa dakika chache alizocheza, pengo la ake nimeliona.
Madrid ikiwakung'uta ntafurahi.Yeah wacha tusubiri updates tuone ikoje.
Acha kuwa na mawazo ya kimaskini mkuu mwanaume hapgopi chochote kwenye utafutajiHapa wa kumuwaza ni Madrid tu ....huyu buyern sio atachomokea wapi ,zaidi ya kula kichapo
Na ana mazoea mabaya sana ila kwa huu moto, mmmhh! sidhani kama atauzimaMadrid ajiandae sasa this time hatutaki utani.
mkuu makwapa this time ni lazima ondoa hofuHallah Citizens
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Yaan mwaka huu hawa Madrid tuwafurushe km hatuwajui vileee, wasituzoee kupitilizaa khaaah.
Mwaka huu tufanye tunyanyue kwapaa jamaniii.
Tumeimprove sana defensively.Mwaka huu formation ya city ipo vizuri naamin hili jukwaa litapamba moto baada ya kutoka na pale Istanbul
Mkuu yani najikuta nimeanza kibeti kwa furaha maaana City ukiweka hela yako hupati pressureTumeimprove sana defensively.
Madrid mwaka huu tunamchakaza nje ndani akagombanie copa del rey huko.Madrid ikiwakung'uta ntafurahi.