The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hivi huyu TT alitufungaje ile final ....

Overrated Coacher .....

Alitubahatisha Sana ,naona anazidi kuyakanyaga huko buyern [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka hatua hii ya nusu fainali, hatujafungwa goli lolote.

Timu ya mwisho kufika hatua hii bila kuruhusu goli ilikuwa Everton msimu wa 1965/66
 
Hivi huyu TT alitufungaje ile final ....

Overrated Coacher .....

Alitubahatisha Sana ,naona anazidi kuyakanyaga huko buyern [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anaweza kutimuliwa tena maana bundesliga ndio kombe pekee walilobakiza.
 
Hivi huyu TT alitufungaje ile final ....

Overrated Coacher .....

Alitubahatisha Sana ,naona anazidi kuyakanyaga huko buyern [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wangemuacha tu Nangelosman amalize msimu. Kocha kuichukua timu katikati ya msimu ni risk sana
 
Inaonekana Leo hatutakua na inverted fullbacks sababu kama pep angetaka kucheza hivyo basi ni lazima angeanza na Rico lewis.

Kwa kuanza na Gomez nadhani tutakua na wide wing backs sababu Gomez na walker wote so wazuri kwenye inverted role.
 
Hii game naona kama tunapiga piga Pasi tu hatuko aggressive.
 
Jamaa wana defend hasa, at least hili goli 1 litawafungua tukimbizane vizuri.
 
Ila tumecheza hovyo hii first half ngoja tuone second half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…