Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na iwe hivyooooomkuu makwapa this time ni lazima ondoa hofu
Hahahahahahaaaaaaaaaa, yaani hawa wavulana navyoona mwisho wao sio mzuri hasa kwa game ya Newcastle na Chelsea hapa mojawapo lazima wadondoshe point zingine.Ngoma imeisha hiyo, 3-3.
Arsenal walikua wanasema watatafuta droo tu kwa city haya waje watafute sasa hiyo droo.
Wanatuacha point 5 na tuna mechi mbili mkononi, point 6 hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] City [emoji1666]Sikutegemea kama arsenal angepoteza point Kwa hizi game [emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Kwani hatujawai kumtoa?ligi muichukue2 ila yuefa mko na mwenye kombe lakeView attachment 2595680
Mkuu kama team haiwezi kucheza under pressure hiyo bado sio ya ubingwa.Arsenal msimu huu alikua na team nzuri ya kubeba kabisa EPL kilichowaangusha ni timu imejaa watoto hawawezi kucheza under pressure. They were doing better until pressure caught up with them
Kwani huwa hatolewi?ligi muichukue2 ila yuefa mko na mwenye kombe lakeView attachment 2595680
Malizeni mapema mi nawapa baraka wale midomo wanaongea sana.Arsenal hawajui hata wao wanataka nini.
Acha waje etihad tumalize biashara.
Leo pep lazima atarotate kikosi kauli, sioni akiingia na full stregth ukizingatia epl kule imeshaanza kubaki wazi.Pep on "exhausted" players.
"I have to convince them that the tiredness is there but you can use it as an excuse or an opportunity.
"If you have an opportunity, you will be ready at 4:45 (on saturday), if you have an excuse, you will be tired and that's better not to play and they have to be honest with the team".