The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ngoma imeisha hiyo, 3-3.

Arsenal walikua wanasema watatafuta droo tu kwa city haya waje watafute sasa hiyo droo.

Wanatuacha point 5 na tuna mechi mbili mkononi, point 6 hizo.
 
Ngoma imeisha hiyo, 3-3.

Arsenal walikua wanasema watatafuta droo tu kwa city haya waje watafute sasa hiyo droo.

Wanatuacha point 5 na tuna mechi mbili mkononi, point 6 hizo.
Hahahahahahaaaaaaaaaa, yaani hawa wavulana navyoona mwisho wao sio mzuri hasa kwa game ya Newcastle na Chelsea hapa mojawapo lazima wadondoshe point zingine.
 
Arsenal msimu huu alikua na team nzuri ya kubeba kabisa EPL kilichowaangusha ni timu imejaa watoto hawawezi kucheza under pressure. They were doing better until pressure caught up with them
 
ligi muichukue2 ila yuefa mko na mwenye kombe lake
IMG-20220413-WA0008.jpg
 
Arsenal msimu huu alikua na team nzuri ya kubeba kabisa EPL kilichowaangusha ni timu imejaa watoto hawawezi kucheza under pressure. They were doing better until pressure caught up with them
Mkuu kama team haiwezi kucheza under pressure hiyo bado sio ya ubingwa.
 
Arsenal hawajui hata wao wanataka nini.

Acha waje etihad tumalize biashara.
 
Huu mwaka tusipopiga threesome ya makombe ntajua kweli na ulaya kuna uchawi.

Treble on the way.
 
Leo saa 12:45 saa za afrika mashariki tutakuwa na vijana wa Paul Heckingbottom kutokea championship, Sheffield united katika dimba la Wembley.

Kama tulimpiga legend wetu kompany goli 6 bila huruma, basi hawa nao hakuna namna, mpira unadunda ila sio kwenye tope.

The cityzens, Treble hunters.
 
Pep on "exhausted" players.

"I have to convince them that the tiredness is there but you can use it as an excuse or an opportunity.

"If you have an opportunity, you will be ready at 4:45 (on saturday), if you have an excuse, you will be tired and that's better not to play and they have to be honest with the team".
 
Leo pep lazima atarotate kikosi kauli, sioni akiingia na full stregth ukizingatia epl kule imeshaanza kubaki wazi.
Hakuna haja ya kukata nyasi kwa shoka.
 
Back
Top Bottom