FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Waulize Bayern waliojulikana 1863 watakuambia magwaya FCNadhani hili jukwaa liitwe mwilamvya English medium primary school sababu timu imeanza kujulikana 2010 na mashabiki wake ni under 18
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize Bayern waliojulikana 1863 watakuambia magwaya FCNadhani hili jukwaa liitwe mwilamvya English medium primary school sababu timu imeanza kujulikana 2010 na mashabiki wake ni under 18
Kwani hatujawai kumtoa Madrid mbona mnakalili sana wabongo?Labda mngekutana na Madrid kwenye hatua ya makundi lkn sio hatua alipo Sasa.
Ayo sisi hatujui wao hawakujua walichokifanya?City mna bahati sana bayern walimbadili kocha nagelsman siku chache kabla ya mechi ,, lasivyo mlikuwa hamtoboi .
Anyway , all the best mkapate kikombe cha kwanza cha UEFA
Hawajawahi kushinda etihad, patam hapo.Saiv bora tunaanza kwao.. Tumalize kwe2
Hawa wapuuz saiv tunabid tuwatoe dharau zimezid.
Mi hata siwazi kabisa hii game nachowaza analetwa nani fainal Inter ama Ac hawa madrid hata wao wanajua walitutolea bahati ya mtende tu ila mziki mzima wanaufahamu vizuri.hii ilitokea bahati mbaya tu kama kuangukiwa na mti wa mpapai.Saiv bora tunaanza kwao.. Tumalize kwe2
Hawa wapuuz saiv tunabid tuwatoe dharau zimezid.
HahahahMuda huo mtakuwa mmeshatolewa Uefa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah
Madrid umewafunga wabovu chelsea na liverpool, ngoja iyo siku ukakutane na wanaume wa kazi ndio utajua huna chako msimu huu
Real madrid are the real and only obstacle for us.Mi hata siwazi kabisa hii game nachowaza analetwa nani fainal Inter ama Ac hawa madrid hata wao wanajua walitutolea bahati ya mtende tu ila mziki mzima wanaufahamu vizuri.hii ilitokea bahati mbaya tu kama kuangukiwa na mti wa mpapai.
Sina imani na laporte kama full back maybe aniprove wrong kwa fixture zinazofata.Sasa ni wakati wa Laporte kurudisha imani ya pep juu yake, anatakiwa amuonyeshe kwamba anauwezo wa kutoa huduma kama anayotoa Ake au hata zaidi ya hapo, anatakiwa atufanye tusimmiss Ake.
Game ya kesho dhidi ya sheffield na ya jumatano dhidi ya arsenal ni test tosha kwa laporte kutuondolea ama kutuongezea hofu mashabiki na kocha, hofu ya kumkosa Ake.
Ngoja tusubiri press conference baadae labda pep atatoa info zozote kuhusu Ake.Sina imani na laporte kama full back maybe aniprove wrong kwa fixture zinazofata.
Kumkosa Ake katika kipindi kama hiki ni zaidi ya pigo.
Hata game ya arsenal naona ataikosa.Pep kathibitisha kwamba Nathan Ake hatakuwepo kwenye mechi ya kesho.
Pep " he is not ready for tommorow but I don't know the damage, they (medical staff) will do the final tests tommorow"
Laporte alishacheza hilo eneo sana tu na ana experience nalo.Sasa ni wakati wa Laporte kurudisha imani ya pep juu yake, anatakiwa amuonyeshe kwamba anauwezo wa kutoa huduma kama anayotoa Ake au hata zaidi ya hapo, anatakiwa atufanye tusimmiss Ake.
Game ya kesho dhidi ya sheffield na ya jumatano dhidi ya arsenal ni test tosha kwa laporte kutuondolea ama kutuongezea hofu mashabiki na kocha, hofu ya kumkosa Ake.
Laporte hayupo kwenye form ila ni beki mzuri na hiyo role sio mara yake ya kwanza kucheza japo kwa msimu huu katetereka kidogo.Sina imani na laporte kama full back maybe aniprove wrong kwa fixture zinazofata.
Kumkosa Ake katika kipindi kama hiki ni zaidi ya pigo.
Najua kwamba alishacheza hapo mara kadhaa lakini hajawahi kudeliver na kuonyesha composure kwa kiwango alichoonyesha Ake.Laporte hayupo kwenye form ila ni beki mzuri na hiyo role sio mara yake ya kwanza kucheza japo kwa msimu huu katetereka kidogo.