The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep kasema anaona wachezaji wamechoka na hana uhakika kama watarecover ipasavyo kuelekea kwenye hiyo mechi.
Na ukiangalia ni kweli toka april imeanza ametumia kikosi kilekile day in day out na mechi zilikua za mikiki haswa.

Ukizingatia tuna game na arsenal, kuna haja ya kufanya refreshment ya kikosi kwenye game ya sheffield.
Grealish, rodri, dias, ake.
hawa watu wamepiga kazi haswa.
 
Narudia tena kusema hakuna aliye niuma kama Nathan Ake kutoshiriki hii nusu fainal
 
Narudia tena kusema hakuna aliye niuma kama Nathan Ake kutoshiriki hii nusu fainal
Bado hajawa ruled out kuwa ataikosa nusu fainali.
Leo ndio atafanyiwa vipimo kujua ukubwa wa tatizo lake na muda ambao atakua nje.
Nadhani atakosa kama game 3-4.
I hope kufikia May 9 atakuwa fiti.
 
Laporte sijui kama ata offer anacho offer ake ila kwa dakika chache alizocheza, pengo la ake nimeliona.
Msimu wa 2018/19 laporte alicheza sana hilo eneo na alikua superb, sio mgen kwenye hiyo role ana uzoefu nayo.
 
Pep kasema anaona wachezaji wamechoka na hana uhakika kama watarecover ipasavyo kuelekea kwenye hiyo mechi.
Na ukiangalia ni kweli toka april imeanza ametumia kikosi kilekile day in day out na mechi zilikua za mikiki haswa.

Ukizingatia tuna game na arsenal, kuna haja ya kufanya refreshment ya kikosi kwenye game ya sheffield.
Sasa unafikiri wanaweza kuanza kina cole palmer?
 
.
FB_IMG_16819989731000673.jpg
 
Sasa unafikiri wanaweza kuanza kina cole palmer?
Hapana atleast anaweza kufanya mabadiliko hata manne sio mbaya, hii ndio mechi pekee itakayotupa nafasi ya kuvuta pumzi, baada ya hapo mikiki inaendelea.

Walker, rico lewis, mahrez, laporte hawa wanatakiwa kuanza kuwapumzisha kina dias, stones, bernado.
 
IMG_6137.jpg

Leo ndyo TBT ehh
IMG_6145.jpg

[emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782]
 
Mmejitahidi sana kwa Bayern isiyo na kocha lkn kwa Madrid aisee mkaze,wazuri sana wale jamaa
 
Mmejitahidi sana kwa Bayern isiyo na kocha lkn kwa Madrid aisee mkaze,wazuri sana wale jamaa
Wewe si ndio ulikua unasema hatuwezi kumfunga bayern kwa beki ake na akanji? Unatumia hoja za kulinganisha vikosi, hope umejifunza kitu katika modern football.
 
Mechi yetu na chelsea imesogezwa mbele kutoka tarehe 20 May mpaka 21 May.
Hii ni baada ya ratiba ya nusu fainali ya UEFA kutolewa ambapo tutacheza mechi ya kwanza tarehe 9 May na mechi ya marudiano tarehe 17 May.
 
Muda huo mtakuwa mmeshatolewa Uefa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuwakumbushe au mnakumbuka maumivu ya mwaka Jana
Halla Madrid 🤍🤍🤍🤍
UEFA TROPHIES 14 [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]

MWACITY UEFA TROPHY [emoji90]00000000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliza trako
 
Back
Top Bottom