The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Najua kwamba alishacheza hapo mara kadhaa lakini hajawahi kudeliver na kuonyesha composure kwa kiwango alichoonyesha Ake.

Ake's injury is a huge and serious blow.
Ake ni pigo ndio lakin point yangu ni kwamba, atleast tuna laporte ambae tayari ana experience ya kucheza hilo eneo tofauti na tungekuwa hatuna kabisa.
Rico lewis na sergio gomez ni wingbacks lakin hawana maturity ya kutosha kwaiyo CB pekee mwenye experience ya kucheza kama left fullback ni laporte na hiyo ni bora kuliko tungekuwa tunamtegemea inexperienced lewis au gomez kama replacement.
 
Mateo Kovacic's representatives have officially entered talks with Manchester City for a potential transfer from Chelsea.
 
Arsenal washinde leo wajipoze maana kisago cha etihad hakitakua cha kitoto.

Hii timu ambavyo hawako serious, unaeza shangaa naleo wanadroo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa saton waki turn up sio mchezo ...

Walitupiga goli mbili carabao tukatolewa kimasiara ...


Leo arsenal kayakanyaga ...
 
Ila arsenal ni utopolo aisee, wameshajichokea na hawajiamini tena.
 
Hawa jumatano tutapiga aisee, hii game watashinda kwa kutolewa kamasi.
 
Nlikua nmelala nkaona mtu kashakojozwa 2, ila kwa mpira unavyoonekana arsenal atashinda.
 
Hawa soton ndio wana hatari zaidi golini kwa arsenal, wajitahidi wapate hata goli jingine maana arsenal wanapaka rangi.
 
Japo wanaongoza half time ila wanapelekewa moto, sioni wakilinda goli nilale tu.
 
Japo wanaongoza half time ila wanapelekewa moto, sioni wakilinda goli nilale tu.
Mnasubiri soton amng'ang'anie arsenal?
Mimi wale sijawapa dhamana, hapo watapigwa comeback watakula 4.
Arsenal tutamsulubu sisi wenyewe hao walala hoi hamna kitu wanasubiri kushuka daraja tu.
 
Mnasubiri soton amng'ang'anie arsenal?
Mimi wale sijawapa dhamana, hapo watapigwa comeback watakula 4.
Arsenal tutamsulubu sisi wenyewe hao walala hoi hamna kitu wanasubiri kushuka daraja tu.
Mpira unadunda huu, unaweza shangaa wakapigwa pressure hivyo hivyo tu mpaka game ikaisha.
 
Naona soton wanatufanyia kazi ambayo ilitakiwa tuifanye j5

arsenal 1-3 soton ..75'
 
Back
Top Bottom