Hawa leo walikuja kutusumbua tu na basi lao.Yani sheffied walivyopaki utadhan wanaongoza.
Kwenye FA naona timu zimeshindwa kabisa kufikisha mpira wavuni.Haya mashindano tutamaliza bila kufungwa hata goli moja
Nyie man shity ata fainal mkikutana na Club brudge mnafungwaHivi huyu TT alitufungaje ile final ....
Overrated Coacher .....
Alitubahatisha Sana ,naona anazidi kuyakanyaga huko buyern [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukuru Mungu huyo klopp alikutana na kibonde spurs kwenye final ...Nyie man shity ata fainal mkikutana na Club brudge mnafungwa
5-0 saivi [emoji3][emoji3]Aisee, spurs dakika ya 10 tu kashakula 3-0
Liverpool wako nyuma kwa point 9 kutoka namba 4.Newcastle wamedhamiria kwenda UCL, liva nae anakuja naona manyumbu wataenda uropa.