The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Our home grown Kid making his Wembley debut

Rico in for bernado
 
Hii team watakuwa wanaiogopa sasa hata kabla yakuingia uwanjani maana inagawa kipigo tu kwa kila ajaye.
 
Ndo msimu sasa unaanza kushika kasi.

Ngj j5 kwnz tupambane na huyu aliyejuu yetu.. Tumpe kipigo tumweke within range ya kumtoa pale juu mapema.
Screenshot_20230422_204724.jpg
 
Riyard mahrez has become the first player to score a hat trick at Wembley stadium in FA cup semi final.
 
Hivi huyu TT alitufungaje ile final ....

Overrated Coacher .....

Alitubahatisha Sana ,naona anazidi kuyakanyaga huko buyern [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie man shity ata fainal mkikutana na Club brudge mnafungwa
 
Newcastle wamedhamiria kwenda UCL, liva nae anakuja naona manyumbu wataenda uropa.
 
Back
Top Bottom