Na kila kitu kimeshaclick kwenye akili za wachezaji, morali ipo juu, ni kama kusukuma mlevi tu.Saizi wachezaji wenyewe washakuwa na uzoefu ....hata ancelote hatumii nguvu kubwa kutoa maelezo Kwa wachezaji Madrid .... wachezaji wako mature na situation kama hizo ...
Habari njema japo hatujui kama nae ametrain au alikuwepo tu.Nathan Ake has been spotted at Manchester city training ground with other squad members.
_CityXtra
Kwahali hii, si ajabu wanapambana kutushusha daraja maana hili dude la sheikh mansoor linataka kuifanya famers league.Man city U18's have won their league trophy for the fourth consecutive time.
Man city U21's have won theirs for the third consecutive time.
Man city senior team are also on the verge to win it for the third consecutive time.
A trophy winning entity [emoji91][emoji91]
Nathan Ake has been spotted at Manchester city training ground with other squad members.
_CityXtra
Huwa hacheki na goli huyu jamaa, kuna huyu rodrygo pia, ni muuaji haswa.Benzema anaburuza watu huko, dias hapa ana kazi ya ziada.
Wana beki urojo sana wanaruhusu magoli kirahisi.Benzema anaburuza watu huko, dias hapa ana kazi ya ziada.
Tatizo hamna beki ya kulinda magoli ya benzema, mbele ya haaland mtapoteana sana.View attachment 2604088
Mwacity benzema anawasalimia
Si unajua majeruhi mlionao?View attachment 2604088
Mwacity benzema anawasalimia
Tatizo hamna beki ya kulinda magoli ya benzema, mbele ya haaland mtapoteana sana.
unamuona Rodri alivyo na confidence na control ya boli sasa Jude yupo hivyo hivyo sema Rodri kamzidi kukaba na kupressHuyu bellingham huwa naona anakuwa overrated, tungeconcentrate kwa hawa.
1. McAllister
2. kovacic
huwa sioni kitu chochote alichonacho bellingham ambacho hawa watu hawana na bei zao ni ndogo kuliko Jude.
Anceloti akimfikiria Halaand anawasha fegi kuhamisha kichwaTatizo hamna beki ya kulinda magoli ya benzema, mbele ya haaland mtapoteana sana.