cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwa kweli akuje tyuuh, nampenda sana huyo jamaa.Huyo tutamdaka tu pale ndio shamba la bibi kwa city.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli akuje tyuuh, nampenda sana huyo jamaa.Huyo tutamdaka tu pale ndio shamba la bibi kwa city.
Mpira wa ulaya umeanza kuangalia lini?Nawambien nyie mwaka huu mngeikosa signature ya halaand msingefika popote pale na uefa ilikua mapema tuu hata uefa nawambien shukuruni hilo
Aliyepiga ule mpira ni stone sio ederson ..Ila pep bana, yani pamoja na kwamba ile pasi ya ederson ilileta progression ya kwenda kuzalisha bao, yeye bado aka mind.
Kama unafatilia mechi za city vizuri kabisa utagundua timu inapotaka kutoka chini kwenda juu, mpira lazima upite kwa rodri (lazima) hasa against timu zinazofanya high pressing.Aliyepiga ule mpira ni stone sio ederson ..
Ederson alimpigia pass stone ,wakati stone kashakabwa na Jesus pamoja na martnell,kiufupi pass ya ederson ilikuwa ya kichonganishi ndio maana pep alimind ...... ....ndio stone akabutua kwenda mbele kule ...bahati nzuri ukamkuta haaland akampa kdb ,kdb akafunga
Wawepo. Wote hatutak visingizio wakt tunawatoa.Madrid leo wametangaza kwamba luka modric ana majeraha ya nyama za paja na anaweza kuwa nje kwa wiki 2.
Huyu anaweza kutukosa first leg ama asiwe fiti kwa 100%
Punguza sauti, arsenali wakikusikia watakumeza.Mataji ambayo tutayabeba mwaka huu 2023.
1. English Premier league trophy
2. FA cup
3. UEFA Champions league cup
4. UEFA super cup
5. Community shield
Mda huo kuna genge litamaliza trophyless [emoji23][emoji23] dah, kweli life is unfair.
Mwaka wetu huu hamna wa kutuzuia.Wawepo. Wote hatutak visingizio wakt tunawatoa.
Kwenye epl hapo tunahitaji kushinda mechi 6 kama arsenal akikaza kushinda zake zilizobaki.Haya haya bado game 11 kuifikia nchi ya ahadi, TREBLE LAND.
Nyumbu wakiona hivi kijasho chembamba kinawatoka [emoji23]
EPL mechi 7
FA mechi 1
UCL mechi 3
Ferguson atajua hajui.
Hao wilikuwa wanaongea utafikiri timu yao wanacheza malaika kumbe ni kikundi cha vikaragosi tu.Punguza sauti, arsenali wakikusikia watakumeza.
Inatakiwa ieleweke kwamba malengo yetu yalikuwa uefa, hizi epl na fa zinajipendekeza tu so no way, inabidi tuzichukue tu tutafanyaje sasa.Kwenye epl hapo tunahitaji kushinda mechi 6 kama arsenal akikaza kushinda zake zilizobaki.
Akikaza fuvu, ubingwa tutatangazia kwa Brighton May 24, Arsenal akiendelea kupuyanga, tunabeba ndani ya wiki mbili zijazo.
Hapo sasa tunabaki na hesabu za UEFA maana kule FA nyumbu tunajipigia tu.
Bandiko nililokunukuu uliandika kuhusu perfectionism na ndipo nilipokua nimebase kwamba hakuna kocha asiyetaka perfection wakati wa tactical execution.Ndio, lakini ile strictness wakati wa ku execute tacticts ni kubwa mno kwa pep.
Bielsa na Pep hivi vichwa havitaki kusikia kitu kinaitwa "maamuzi magumu"
Hahahaa kwamba Mzee Ferguson atajua hajui au sio.Haya haya bado game 11 kuifikia nchi ya ahadi, TREBLE LAND.
Nyumbu wakiona hivi kijasho chembamba kinawatoka [emoji23]
EPL mechi 7
FA mechi 1
UCL mechi 3
Ferguson atajua hajui.