kayamtumbi
Senior Member
- Aug 6, 2022
- 134
- 136
ukiwa citizen tembea kifua mbele sema hakuna mjinga wakuchukua point mtu anaesema tutafungwa bac kaanza kujua mpira kwa zincheko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hatujacheza game ya Brighton na Brentford tutakuwa tushatangaza ubingwa ....Mechi zilizosalia ni hizi.
Fulham (Away)
West ham (Home)
Leeds (Home)
Everton (Away)
Chelsea (Home)
Brighton (Away)
Brentford (Away)
Arsenal walikuwa wanakabia juu ,Sasa wanafanya pressing Kali ...Kuna ka clip kanatembea mtandaoni kanamuonesha kipara wakati wengine wanashangilia goli la kwanza yeye akamuita ederson akaanza kumfokea [emoji23][emoji23]
Arsenal sasa hivi wameshavurugika kisaikolojia, huenda wakazidi kupasuka.Kabla hatujacheza game ya Brighton na Brentford tutakuwa tushatangaza ubingwa ....
Arsenal hachomoko Kwa Newcastle na Brighton ....
Na ndio kinachofanyika, anatengenezwa kuwa Kane.Haaland jana alikuwa hajafocus kwenye kulishwa pekee, alikua involved kwenye kutengeneza space kwa wengine.
Akiwa na trait hiihii, basi tutakuwa tumeshampata kane wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijitu vinakaa vinadanganyana arsenal bingwa pumbavu. Watu tumekimbizana na liverpool ambayo ilikua ni bora kuliko arsenal af et leo kigenge cha watoto kitusumbue, kuna watu utafikiri wameanza kuangalia epl juzi.
Bellingham akija City bas woyaaaa woyaaaaa.Manu Akanji, mtu na nusu huyu bwana, BVB lishakua chimbo letu hawajawahi kutuangusha, vile tuliwabeba akanji, haaland, gundogan the same tunatia nanga kwa bellingham.
Sheikh mansoor afanye kuiongeza bvb kwenye city group, wanatupa vyuma sana hawa.
The way EPL iko na maajabu, unaeza shangaa chelsea akaenda kufufukia kwa arsenal.Chelsea naona wanazidi kugawa point tu.
Hapo atakuwa ni perfect package.Na ndio kinachofanyika, anatengenezwa kuwa Kane.
We call it a monster mentality.According to Noel Gallagher who entered the dressing room after the match, Erling Haaland looked gutted & unsatisfied by his own perfomance.
He think he should've scored atleast a hat trick!
What a fvcking mentality.
HaswaaaHapo atakuwa ni perfect package.
[emoji23][emoji23] imagine tulivyokuwa kwenye race na liverpool, ilikua shinda nishinde hakuna mtu kudondosha point hovyo, sasa hawa vibwengo wanadroo wanaenda mechi 4 bila kushinda af wanataka kombe, ujinga mtupu.Ni mwezi huuhuu ambao Arsenal alikua anatuacha point 8.
Lakini mwezi huu huu hata haujaisha tayari tunaongelea point 2 na game 2 mkononi.
Kweli kuna timu hazijielewi.
Huyo tutamdaka tu pale ndio shamba la bibi kwa city.Bellingham akija City bas woyaaaa woyaaaaa.
Huyu bellingham huwa naona anakuwa overrated, tungeconcentrate kwa hawa.Huyo tutamdaka tu pale ndio shamba la bibi kwa city.
Umri ndio factor kubwa.Huyu bellingham huwa naona anakuwa overrated, tungeconcentrate kwa hawa.
1. McAllister
2. kovacic
huwa sioni kitu chochote alichonacho bellingham ambacho hawa watu hawana na bei zao ni ndogo kuliko Jude.