Jana gap la ake halikuonekana ,...
Walker alikuwa anamdhibiti Sana zinchenko Hadi huruma ...
Saka Jana hakuonekana ,akanji alifanya majukumu yake ...
ifike muda watu waache kulinganishwa yule "small boy ordegard " na the best midifilder in the world kdb ...
Combination ya kdb na halaand ni fire ...
Naona kama vile halaand anajifunza kuwa play marker ,....Lile goli la kwanza la kdb ni kama goli tulilowafunga buyern ....
Team yetu Kwa Sasa ina " monster mentality" kiufupi Sion timu ikikatiza bila kupigwa ...
Jana ilikuwa " men against boys " arsenal walionekana kama watoto wadogo mnoo ...
Tuko na game 2 ,ambazo tukipata point 3 zote basi tunamuacha arsenal Kwa point 4 ...
Arsenal akizid kuteleza basi tunaenda kutangaza ubingwa mapema mnoo ...