Kuna pundit nimemsahau jina alishawahi kusema kwamba tactical perfectionism ya pep ndio inamfanya anahangaika Champions league.
Kwamba sometimes tactics zinakwama kwaiyo unahitaji individual brilliance kukuokoa, ukiangalia ile pasi ya ederson kwa stones ilianzisha series iliyopelekea goli lakini bado pep hakupenda sababu ilikua kinyume na tactical demand yake.
Kuna game tulicheza na leicester mwaka 2019 tulishinda 1-0, shuti la kompany likaturudisha kileleni lakin pep kwenye touchline alikua anamzuia kompany asishoot kwasababu ni pata potea, yeye tactical demand yake ilikuwa timu i hold & circulate mpira na kufanya movement za kutosha kutengeneza nafasi za uhakika.