Kuna watu watakupiga mawe.
Mkuu sijakuelewa uandishi wako.unamuona Rodri alivyo na confidence na control ya boli sasa Jude yupo hivyo hivyo sema Rodri kamzidi kukaba na kupress
Jude yupo agresive kwenye kushambulia sema sasa agresiveness kwenye kushambulia ina madhara yake ni kupgwa counter attack nyavu ni mzuri ila anahitaj 6 na beki wazuri nnavyoona Pep hatamchukua tubeti hapa
Kovacic na Mcallister tuna Phillips na haondoki tutataja bei kubwa.
Kula treble hiyo wewee
Tulitoka kumpiga arsenal goli 3-1 pale emirates tukaongoza ligi tukasema gari limewaka then mechi iliyofata tukadroo na Nottingham.Kwa spirit tuliyonayo leo fulham ataoga bao nyingi sana.
Hizi jezi tukizivaa huwa tunacheza kama tumefungwa kamba miguuni, mechi zote hizo tulikuwa tunacheza ujinga.Leo tutavaa uzi wetu wa mistari ya rangi nyekundu na nyeusi.
Msimu huu hii jezi tumeivaa kwenye mechi 4 tu na matokeo yalikuwa haya.
Draw against Coppenhagen (0-0)
Win against Leeds (3-1)
Defeat against Tottenham (1-0)
Draw against Leipzig (1-1)
Tunahitaji pointi 18 tubebe ubingwa hakuna haja ya kumuwaza arteta sasahivi.Leo tunahitaji kuwatenda kitu mbaya fulham I'll Arteta azidi kupagawa na kupoteana zaidi.
Walikuwa wanacheza pamoja na Ferna nani alikuwa 6 kipindi kile Gundo anatokea subMkuu sijakuelewa uandishi wako.
Rodri ni DM, Bellingham ni CAM huwezi kuwafananisha.
Na kama inshu ni confidence na control ya mpira, hata Mac allister na kova wanavyo pia.
Advantage pekee ya bellingham mbele ya hao wengine ni umri wake kama alivyosema Adipoz huko nyuma.
Wanatakiwa wacheze ila kwa tahadhari confidence iendelee kuwa juuLaporte, foden should start today, hizi mechi 3 kabla ya UCL hazina haja ya kurudia kikosi kilekile.
Kwasasa tuna momentum ya kutosha sio kama kipindi hicho tulikuwa hatuna consistency.Hizi jezi tukizivaa huwa tunacheza kama tumefungwa kamba miguuni, mechi zote hizo tulikuwa tunacheza ujinga.
Obviously leo laporte ataanza ila foden sidhani.Laporte, foden should start today, hizi mechi 3 kabla ya UCL hazina haja ya kurudia kikosi kilekile.
Kikosi inabidi kiwe rotated somehow.Obviously leo laporte ataanza ila foden sidhani.
Hii rekodi wala haina maisha marefu.Haaland akifunga goli leo ataifikia rekodi ya Andy Cole ya magoli 34 ndani ya msimu mmoja wa ligi.
Kwa kumbukumbu zangu sikumbuki ni lini fernandinho na rodri wameanza pamoja.Walikuwa wanacheza pamoja na Ferna nani alikuwa 6 kipindi kile Gundo anatokea sub
Hatukua kwenye form tuliyonayo sahivi. fulham anakufa goli nyingi tu leo akipambana sana 3-0Tulitoka kumpiga arsenal goli 3-1 pale emirates tukaongoza ligi tukasema gari limewaka then mechi iliyofata tukadroo na Nottingham.
Huu upuuzi haupaswi kujirudia.